beeper
JF-Expert Member
- Dec 30, 2013
- 253
- 106
Wadau Leo nahitaji mnijuze zaidi kwanini hizi sehemu Za unyayoni kiunoni ,makwapani na sehemu zingine huwa na hali ya kujisiskia kusisimka (kutekenywa) Mara mtu anapokugusa taratibu?? Nini kinasababisha mtu kuisi kutekenywa na kuanza kucheka
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums