Kutekwa kwa Sativa: Polisi anzieni hapa

Matukio kama haya yanapotokea ndiyo wakati wa kusomana humu kwenye mitandao nani ni nani
 
Kuna tusi gani la kumfanya Mtu atekwe toka Dar-Arusha-Katavi? Mmtumwa kudivert ukweli na nyie ni **** Tu kama waliowatuma.
Jiulize kwanini hawajakuteka wewe na wakamteka Sativa? Ni kwa kuwa tabia yako ni njema !! Simple
 
Wanaomtetea Sativa njooni mjibu hii post hapa juu Martin Maranja Masese, Boniface Jacob etc
 
Moisemusajiografii njoo ujibu na maswali haya hapa juu
 
Huo utakua ni sawa na udanganyifu wa kuingia chumba cha mtihani ili umfanyie mtu mwingine.Ushauri;Afuatwe Sativa atoe majibu nyoofu na si mimi nitakayebahatisha tu.
Umesema vizuri kabisa. Lakini kwa wataalamu wa forensic investigation wasingeacha bila kuifanyia kazi hii tweet yake.

Kwa mtazamo wangu ni kwamba utekwaji wa Sativa hauna mahusiano na mambo ya siasa kama wengi wanavyotaka tuamini. Nahisi ni mambo ya fedha au uasherati dhidi ya wake za watu
 
Hapo neno "mtazamo wangu" ndiyo la kukazania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…