Kuteleza si kuanguka , Simba kumtandika Mwarabu kwao

Kuteleza si kuanguka , Simba kumtandika Mwarabu kwao

Huu uzi hauna maana tena. It has been overtaken by events.
 
Arsenal alipofungwa bao 5 na Liverpool akaja kugeuza matokeo na kumtandika Chelsea bao 2 mtungi , hakuna haja ya watanzania kukata tamaa , leo ushindi ni wetu.

Nakala : Shafii Dauda
Unabahati mbaya kila unachokipenda huwa kina feli.mfno simba, chadema
 
Arsenal alipofungwa bao 5 na Liverpool akaja kugeuza matokeo na kumtandika Chelsea bao 2 mtungi , hakuna haja ya watanzania kukata tamaa , leo ushindi ni wetu.

Nakala : Shafii Dauda
Erythrocyte nakuomba tufahamiane. Nakukubali Sana tangy jamii forum nijiunge uko kwenye mstari uleule
 
Back
Top Bottom