Kutembea kwa miguu au baiskeli kwenda Kigoma

BRN

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2013
Posts
5,188
Reaction score
6,633
Wadau habari ya jioni,hivi karibuni tumeshuhudia wanaume wa mkoani Kigoma kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli kwenda Dar kutazama mechi za Simba na Yanga.

Je, wanaume wa Dar hamuoni kwamba sasa ni zamu yenu na nyie kurevenge.?!
 
Ahaa wapi,wala chipsi wamelegea sana hawawezi hii mbungi.
 
Sisi wanaume wa Dar, tuko bize kudai katiba mpya. Nyinyi endeleeni kutembea hovyo kama kuku aliekatwa kichwa!
 
Hakuna mtu anaweza kutembea kwa miguu kutoka Kigoma mpaka Dar zama hizi, hata awe kichaa. Wote wale ni waongo na wajanja wajanja.
 
Wadau habari ya jioni,hivi karibuni tumeshuhudia wanaume wa mkoani Kigoma kutembea kwa miguu au kutumia baiskeli kwenda Dar kutazama mechi za Simba na Yanga.
Je, wanaume wa Dar hamuoni kwamba sasa ni zamu yenu na nyie kurevenge.?!
Mwanamme wa Dar atembee, aache kupakatwa na kupigwa vidole unampa majukumu asiyoyaweza kabisa. Waache wale vikaragosi na starehe zao za kupakatwa na wanaume wenzao.
 
Back
Top Bottom