Kutembea na baba mkwe

Kuna ule Uzi jamaa alileta akasema yule madam anamla Baba yake wa kumzaa na huyo madam akawa anahoji kwani Kuna tatizo gani.Dunia imeshapinduka.Jamaa naye alikuwa anatetemeka kama wewe hakuwa na cha kumuambia huyo madam.
 
Dah! Kwahiyo kwenye miguno anamuita bby au baba mkwe[emoji849]
 
Ukistaajabu ya Musa utaona ya Firauni sasaivi dunia imechafukwa wanaume kwa wanaume wanafirana na itakuwa iyo!!
 
Sasa kama watu wasipoleta hapa jf stori zao tutasoma nini?

Hivi watu wenginexkazi yao kulaumu tu!
 
Ni tangawizi tu hatunywi tena chai
 
Hata mi natamani iwe chai maana namuonea huruma sana huyu baba tena Bora mkewe angekua mkimya asingeshare na watu[emoji17][emoji17][emoji17] mim mwenyewe natamani kumwambia sema naogopa ntamuua Bure
 
Wakati mwingine kumcha Mungu inasaidia,inamuepusha shetani
Hapo shetani keshaingia kwenye ndoa ya watu subiri kifuatacho.
Kama ilikuwa bahati mbaya basi ilitakiwa iwe mara moja tu,kama haijawahi kutokea kitu,sasa mambo gani hayo?
 
Hata mi natamani iwe chai maana namuonea huruma sana huyu baba tena Bora mkewe angekua mkimya asingeshare na watu[emoji17][emoji17][emoji17] mim mwenyewe natamani kumwambia sema naogopa ntamuua Bure
We kausha kama hujui chochote yani
 
Aikizaliwa mtoto DNA damu ile ile mtoto mfanano ni ndani ya familiya ewe Mungu tunusuru.
Wewe baba mkwe nini umekikosa mpaka ukamtamani mkweo? Na wewe mwanamke nini kimekukuta huna geshima kwa mmeo? Duh.
 
Wakati mwingine kumcha Mungu inasaidia,inamuepusha shetani
Hapo shetani keshaingia kwenye ndoa ya watu subiri kifuatacho.
Kama ilikuwa bahati mbaya basi ilitakiwa iwe mara moja tu,kama haijawahi kutokea kitu,sasa mambo gani hayo?
Yaani ni hatari ndo ii unaskia flani kaua mke wake tunamlaumu baba wa watu kumbe kuna mengi nyuma....
 
Sasa kama watu wanatembea na baba zao wa kuwazaa, ndio sembuse baba mkwe? Mimi nimeshafika mahali siku hizi wala sishangai tena.
 
Hiv niulize kwa taratibu zenu, uzoefu qu mawazo yenu, familia inaishi kwenye nyumba kubwa, watoto, chumba cha wageni, beki tatu n.k, mkilala huwa mnafunga milango ya vyumba au huwa mnaacha wazi?

Baba mkwe alifikaje chumbani kwa mke wa.mwanae??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…