Kutembea na Binti chini ya miaka 18 aliyekwishazaa ni kosa kisheria?

Kutembea na Binti chini ya miaka 18 aliyekwishazaa ni kosa kisheria?

KimChi

Senior Member
Joined
Feb 14, 2018
Posts
122
Reaction score
161
Wakuu habari,

Nilitaka kujua ikiwa unafanya mapenzi na binti aliye chini ya umri wa miaka 18 kwa hiyari yake na tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au la, na kama ni kosa adhabu ni ipi?

Pia kama si kosa je hawa mabinti baada ya kuzaa chini ya miaka 18 Serikali imewaachia uhuru kuendelea na mambo ya kiutu uzima kama kufanya ngono bila kufuatiliwa na Sheria ya ubakaji.

Karibuni wadau, msisahau kuwatag wajuvi wa mambo haya.
 
Kushiriki tendo la kizinifu na mzazi wa kike aliye na miaka chini ya 18 ni kosa kisheria??!

Wajuzi wa mambo karibuni.
 
Sheria haizuii kuwa na mahusiano ya mtu mwenye umri chini ya miaka kumi na name. Iwe amezaa au hajazaa haikatazwi.

Kinachozuiwa ni kumpa mimba mwanafunzi. Hapa issue sio umri bali ni ile hali ya kuwa shuleni. Kuna wanafunzi wa kike wana umri zaidi ya huo lakini ukiwapa mimba kinawaka.
 
Alibakwa mara ya kwanza akazaa

We unambaka mara ya pili

Tutawatafuta wabakaji wote wawili wewe na mwenzako
Hahaha...ishu inakuja unakutana na mtu ana mwili mkubwa kama ana miaka 25+, sio mwanafunzi, halaf anaitwa mama fulani, mnafanya maajabu yenu wee baadae unagundua yuko chini ya 18.

Maisha haya unaweza kujikuta jela bila kutarajia wadau😁
 
Unatembea naye kwenda wapi? Kama mtoto wake ni mchanga, itabidi mpande daladala. Hakuna namna... Jua ni kali sana kipindi hiki.
 
Sheria haizuii kuwa na mahusiano ya mtu mwenye umri chini ya miaka kumi na name. Iwe amezaa au hajazaa haikatazwi.

Kinachozuiwa ni kumpa mimba mwanafunzi. Hapa issue sio umri bali ni ile hali ya kuwa shuleni. Kuna wanafunzi wa kike wana umri zaidi ya huo lakini ukiwapa mimba kinawaka.
Nimekuelewa mkuu japo nna mashaka kidogo na uhakika wako kuhusu sheria ya umri wa kuanza mahusiano
 
Haya ngoja niende nawe hivyohivyo😁, Mtoto mchanga kasema nani?, inawezekana kuzaa akiwa na miaka 13 au 14 then ukagegeda akiwa na miaka 17, dogo akiwa na miaka mi2 au 3
Unatembea naye kwenda wapi? Kama mtoto wake ni mchanga, itabidi mpande daladala. Hakuna namna... Jua ni kali sana kipindi hiki.
 
Kama mtoto ni mkubwa na mnakoenda siyo mbali, basi mnaweza tembea wote watatu.
Haya ngoja niende nawe hivyohivyo😁, Mtoto mchanga kasema nani?, inawezekana kuzaa akiwa na miaka 13 au 14 then ukagegeda akiwa na miaka 17, dogo akiwa na miaka mi2 au 3
 
Binti yako akizalishwa halafu kijana wa kiume mwingine akakuuliza kama ni sawa kuendelea nae ungempa jibu gani?

Ni vile tu mabinti nao ni mabinti umri tu vitendo ni watu wazima. Kwa sababu hii wewe endelea.
 
Vipi kwa binti under 18 aliyezaa ndani ya ndoa halafu akaachika,huyu ukimla ni kosa kisheria? (sheria ya ndoa inaruhusu mpaka mtoto wa miaka 14 kuolewa, endapo wazazi wakiridhia)
Alibakwa mara ya kwanza akazaa

We unambaka mara ya pili

Tutawatafuta wabakaji wote wawili wewe na mwenzako
 
Nimekuelewa mkuu japo nna mashaka kidogo na uhakika wako kuhusu sheria ya umri wa kuanza mahusiano

Hakuna sheria inayohusu umri rasmi wa kuanza mahusiano ni kwa kuwa mahusiano hayawezi kuwa proven yenyewe kama yenyewe isipokuwa kwa baadhi ya mambo yatokanayo na mahusiano.

Mfano kuna sheria ya ndoa (hii inaruhusu binti mwenye miaka 14 kuolewa kwa idhini ya wazazi hata hivyo ilipingwa mahakamani). Kwa wanafunzi sheria inahusu masuala ya ujauzito.

Suala la hisia zianzie umri upi haliko regulated na sheria zozote. Hivyo hivyo kuanza kufanya mapenzi hakuna sheria inayokinga hilo isipokuwa mambo ya kibaolojia.

NB; Mahusiano sio kufanya mapenzi tu.
 
ikiwa binti alimaliza darasa la saba na hana nia ya kuendelea na masomo, Huyu sheria inamlindaje?
 
Na wewe ngosha una makusudi sana, wajuwa kabakwa mpaka kazaa, nawe wataka kumbaka tena?! Yaani walivyo wengi ngosha umeshindwa kweli kupata kidosho wa zaidi ya miaka 18?! 🙁😡
 
Back
Top Bottom