Kutembea na Binti chini ya miaka 18 aliyekwishazaa ni kosa kisheria?

Kutembea na Binti chini ya miaka 18 aliyekwishazaa ni kosa kisheria?

Na wewe ngosha una makusudi sana, wajuwa kabakwa mpaka kazaa, nawe wataka kumbaka tena?! Yaani walivyo wengi ngosha umeshindwa kweli kupata kidosho wa zaidi ya miaka 18?! 🙁😡
Ngosha kumbuka miaka haiko kwenye paji la uso na unakuta kitoto kina mwili na matendo ya shangaz kaja, hadi uje ujue ni baadae sana kila mtu kashashinda mechi zake.
 
Kuna jamaa yangu ana ndugu yake yeye alikamatwa kwa kosa la kutembea na mtoto wa miaka 16.
Ila jamaa yangu yeye anakomaa sana na kusema hakuna kosa kwa sababu wamekubaliana wenyewe binti hasomi je kisheria hiyo imekaaje?
 
tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au la, na kama ni kosa adhabu ni ipi?

Pia kama si kosa je hawa mabinti baada ya kuzaa
kufanya mapenzi na binti aliyechini ya miaka 18 asiye mkeo nikosa la ubakaji, haijalishi ana mtoto au hana haijalishi ni mala ya kwanza au laaa!. Sheria inasema mtoto hawezi kuhiyari kufanya jambo hivyo hiyari yake ni non-sense.
 
Vp Sasa kama ni mke wa mtu yupo Kwa mumewe lakini ni under 18. Mume wake akakufuma nae umelala nae (lakini Kwa hiyari yake binti ), anatakiwa afungue kesi aina gani kesi ya fumanizi au ubakaji.
 
Back
Top Bottom