Ngosha kumbuka miaka haiko kwenye paji la uso na unakuta kitoto kina mwili na matendo ya shangaz kaja, hadi uje ujue ni baadae sana kila mtu kashashinda mechi zake.Na wewe ngosha una makusudi sana, wajuwa kabakwa mpaka kazaa, nawe wataka kumbaka tena?! Yaani walivyo wengi ngosha umeshindwa kweli kupata kidosho wa zaidi ya miaka 18?! 🙁😡
sure...Don't make a right
kufanya mapenzi na binti aliyechini ya miaka 18 asiye mkeo nikosa la ubakaji, haijalishi ana mtoto au hana haijalishi ni mala ya kwanza au laaa!. Sheria inasema mtoto hawezi kuhiyari kufanya jambo hivyo hiyari yake ni non-sense.tayari alishazaa huko nyuma kuwa ni kosa kisheria au la, na kama ni kosa adhabu ni ipi?
Pia kama si kosa je hawa mabinti baada ya kuzaa
Vp Sasa kama ni mke wa mtu yupo Kwa mumewe lakini ni under 18. Mume wake akakufuma nae umelala nae (lakini Kwa hiyari yake binti ), anatakiwa afungue kesi aina gani kesi ya fumanizi au ubakaji.kufanya mapenzi na binti aliyechini ya miaka 18 asiye mkeo nikosa la ubakaji, haijalishi ana mtoto au hana haijalishi ni mala ya kwanza au laaa!. Sheria inasema mtoto hawezi kuhiyari kufanya jambo hivyo hiyari yake ni non-sense.