Julieth Ms
Senior Member
- Nov 29, 2011
- 102
- 37
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
mbona bucho anamwaga mahela bila shida . Mjaribu bucho ule mema ya nchi.
Huo ni umalaya, aacheni kuficha ficha!
Unabadilisha radha ya mapenzi wala sio umalaya
Ni umalaya.
hivi umalaya unaweza kutofautishwa na tamaaa?Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
wewe si umesema yupo vizuri.dalali si lazima awe na info ?Mdogo wangu kweli wewe hujui business, hukusoma hata bookkeeping? Hayo maswali unatakiwa umuulize ukiwa Hyatt over a cup of coffee. Afu unamu-evaluate (kama anaendesha corolla tupa kulee heheehehe, nimekunong'oneza ujue)
- Huwa wanajisahau kabisa kuwa wake zao nao wanawahitaji ,unakuta kila siku mwanaume kuingia nyumbani ni saa nane au saa tisa usiku na hapo kalewa mbaya akifika tu anajirusha kitandani anaanza kukoroma.
- Unakuta mwanaume ana mtu mwingine anatembea naya nje ya ndoa kule atafanya kila mautundu ,romance za kila sector atafanya ,na anahakikisha huyo hawara wake anaridhika kabisa,akirudi kwa waifu hamna kuandaliwa wala nini kinafanywa cha chapchap karidhika hajaridhika atajua mwenyewe ,yy akishabanduka hapo anakoroma kwa kwenda mbele mwanamke wa watu anabakia kuhesabu misumari ya kwenye dari!
kanitosa yule offer zake mimi siziwezi bwana eti ujenzi hadi uzae je akifa njiani ameshajilia utamu hapa? aku babu.ngoja nisubirie wazabuni wengine
Sio kweli, unaweza kubadili ladha ya mapenzi hata na mumeo.
daaah aiseee ngoja natuma sasa hvHebu nitumie M-pesa Tsh 300,000 (kama kifungua zabuni) Nikupe zabuni ya melania, zabuni ya kufa mtu !
Zabuni usipime !
Zabuni ya karne ! Utakula mifeza wewe na wajukuu zako watazikuta!
Misafari ya nje utasafiri kumzidi Baba Riz'one !
Kila mwezi mara moja utakunywa chai na Bill Gate,
Opra Winfrey atafunga safari kuja Tz kufanya kipindi na wewe !
Sasa chezea hii nafasi adimu .
Smilemwanamke zamani alikuwa anahudumia na mwanaume hadi anaweka chupi kichwani wiki nzima akimuona mwanaume anakimbia-source bibi yake judgment.sasa hv kila siku gem wapi? hadi kidumu kisaidie bwana
Mme anakifu Katavi kila siku huyo huyo agggggggrrrrrr
Umalaya ni nini?
Mume wa watu akijitahidi kumpa mambo moto moto siku ya pili utasikia mke anadai amechoka! Mume anavumilia kumbe ndicho kipindi mke anatafuta kidumu eheeee!Mme anakifu Katavi kila siku huyo huyo agggggggrrrrrr
[/LIST]
Ili kuepuka haya ndo maana mi sitaki kuoa
Wape wapee vidonge vyaooo, wakimeza wakitema shauri yaooo!
On a serious note: hivi mtu ukiweka efforts za nyumba ndogo kwenye nyumba kubwa yako si mambo yatakuwa bam bam?