Kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na wakati umeolewa; ni tamaa au umalaya?

Kutembea na mwanaume zaidi ya mmoja na wakati umeolewa; ni tamaa au umalaya?

Hela ndo sh ngapi? Usije ukawa unamwaga coins, zile sio hela babaake! Kalipe show room prado kipisi kabla sijaja kuongea na wewe, nakuinbox majina yangu, adress yangu na TIN yangu kwa ajili ya kadi)
mbona bucho anamwaga mahela bila shida . Mjaribu bucho ule mema ya nchi.
 
Huo ni umalaya, aacheni kuficha ficha!

Mkuu usi-conclude namna hiyo. Kuna case nyingi za Ki-sukari (diabetes), baadhi ya wanaume wameathirika, rigwaride linawashinda, mwanamke atavumilia kweli bila kupata 'mshedede'? Issue ni akina mama kuwa na bwana zaidi ya mmoja; hiyo ni combination ya tamaa pamoja na umalaya!
 
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
hivi umalaya unaweza kutofautishwa na tamaaa?
 
Mdogo wangu kweli wewe hujui business, hukusoma hata bookkeeping? Hayo maswali unatakiwa umuulize ukiwa Hyatt over a cup of coffee. Afu unamu-evaluate (kama anaendesha corolla tupa kulee heheehehe, nimekunong'oneza ujue)
wewe si umesema yupo vizuri.dalali si lazima awe na info ?
 
  • Huwa wanajisahau kabisa kuwa wake zao nao wanawahitaji ,unakuta kila siku mwanaume kuingia nyumbani ni saa nane au saa tisa usiku na hapo kalewa mbaya akifika tu anajirusha kitandani anaanza kukoroma.
  • Unakuta mwanaume ana mtu mwingine anatembea naya nje ya ndoa kule atafanya kila mautundu ,romance za kila sector atafanya ,na anahakikisha huyo hawara wake anaridhika kabisa,akirudi kwa waifu hamna kuandaliwa wala nini kinafanywa cha chapchap karidhika hajaridhika atajua mwenyewe ,yy akishabanduka hapo anakoroma kwa kwenda mbele mwanamke wa watu anabakia kuhesabu misumari ya kwenye dari!

Ili kuepuka haya ndo maana mi sitaki kuoa
 
kanitosa yule offer zake mimi siziwezi bwana eti ujenzi hadi uzae je akifa njiani ameshajilia utamu hapa? aku babu.ngoja nisubirie wazabuni wengine

Hebu nitumie M-pesa Tsh 300,000 (kama kifungua zabuni) Nikupe zabuni ya melania, zabuni ya kufa mtu !
Zabuni usipime !
Zabuni ya karne ! Utakula mifeza wewe na wajukuu zako watazikuta!
Misafari ya nje utasafiri kumzidi Baba Riz'one !
Kila mwezi mara moja utakunywa chai na Bill Gate,
Opra Winfrey atafunga safari kuja Tz kufanya kipindi na wewe !
Sasa chezea hii nafasi adimu .
 
Tit for tat! Kama nyie mnavyotoka nje ya ndoa..
 
Hebu nitumie M-pesa Tsh 300,000 (kama kifungua zabuni) Nikupe zabuni ya melania, zabuni ya kufa mtu !
Zabuni usipime !
Zabuni ya karne ! Utakula mifeza wewe na wajukuu zako watazikuta!
Misafari ya nje utasafiri kumzidi Baba Riz'one !
Kila mwezi mara moja utakunywa chai na Bill Gate,
Opra Winfrey atafunga safari kuja Tz kufanya kipindi na wewe !
Sasa chezea hii nafasi adimu .
daaah aiseee ngoja natuma sasa hv
 
mwanamke zamani alikuwa anahudumia na mwanaume hadi anaweka chupi kichwani wiki nzima akimuona mwanaume anakimbia-source bibi yake judgment.sasa hv kila siku gem wapi? hadi kidumu kisaidie bwana
Smile
Hujakutana na shughuli dada kuna watu wanapiga kazi acha na hawa hawa wa kizazi hikihiki
 
Mme anakifu Katavi kila siku huyo huyo agggggggrrrrrr
Mume wa watu akijitahidi kumpa mambo moto moto siku ya pili utasikia mke anadai amechoka! Mume anavumilia kumbe ndicho kipindi mke anatafuta kidumu eheeee!
 
Wape wapee vidonge vyaooo, wakimeza wakitema shauri yaooo!
On a serious note: hivi mtu ukiweka efforts za nyumba ndogo kwenye nyumba kubwa yako si mambo yatakuwa bam bam?

Haswaa ,cku zote mwanamke akimpata mtu wa kuhandle vzr kitandani na kumjali wala hatakuwa na muda na vindoo na vidumu
 
Back
Top Bottom