Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukiolewa tayari una mume je? Inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
Hao sio wanaume bana ni wavulana hao hawajafikia kwenye uanaumeQUOTE=Smile;3366875]nadhani na hilo la wanaume kutowatosheleza wake zao linachangia.si unajua wanaume wa siku hz nasikia hadi kikombe?
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
baadhi ya sababu zinazomfanya mwanamke awe na kibustani.
1. Kutoridhishwa kimapenzi na mumewe (mbona mwanzo aliridhika???)
2. Kutojaliwa, mwanamke anapenda kubembelezwa, kusifiwa na kuonywa kwa staha siyo kutukanwa. (je yeye anamjali mume?)
3. Kutothaminiwa na kuheshimiwa.(ukijiheshimu utaheshimuwa .. kwa nini ulilie heshima wakati hujiheshimu?)
4. Kutopata mahitaji yake. (( mahitaji si kwa upande mmoja)
5. Kuolewa na mume ambaye si wa chaguo lake.( kabla ya kuolewa kuna hatua mnapitia je hukujua kama si chaguo??)
6. Tabia ya mtu.
Kuna wanawake wanaoweza kuvumilia kero hizo, lakini waliowengi huona bora ajitafutie kidumu/kibustani kitakachoweza kumtimizia na kumburudisha moyo wake.
Hivi ukiwa umeolewa na una kidumu kimoja TU ni halali?
Smile mdogo wangu, nna mzabuni mmoja potential, hahesabii hela mfukoni kama Bucho ila nachaji 17% kama crdb. Tuonane basi
Huo ni umalaya au kutoridhika na ulichonacho na tabia hii iko pande zote.ila ni ujinga mkubwa kwakua kwanza unajiongezea mzigo kwakutafuta kilekile ulichokiacha ndani.
Ukiolewa tayari una mume je? inakuaje unakua na kibusitani hapohapo
unaongeza tena kibustani cha pili hii nitamaa au umalaya.
kwenye wekundu hapo mhh
wengi huamua kudai anavumilia kero kwa vile hayuko tayari kuzisema au kumshirikisha mwenzie
Wewe unaweza kula kibua kila siku pasipo kubadilisha?
ahaaa sister wangu wa ukweli umeamua kunifanyia marketing? offer yake ikoje?
huyo term zake zikoje? anaprovide nini na nini?Ni udalali aisee. Unanegotiate mwenyewe afu mi nakuja kuchukua changu,lol!
Jamani tusiwalaumu sana wanawake ,wanaume wa siku hizi wakishaoa wanasahau wajibu wao kabisa.
- Huwa wanajisahau kabisa kuwa wake zao nao wanawahitaji ,unakuta kila siku mwanaume kuingia nyumbani ni saa nane au saa tisa usiku na hapo kalewa mbaya akifika tu anajirusha kitandani anaanza kukoroma.
- Unakuta mwanaume ana mtu mwingine anatembea naya nje ya ndoa kule atafanya kila mautundu ,romance za kila sector atafanya ,na anahakikisha huyo hawara wake anaridhika kabisa,akirudi kwa waifu hamna kuandaliwa wala nini kinafanywa cha chapchap karidhika hajaridhika atajua mwenyewe ,yy akishabanduka hapo anakoroma kwa kwenda mbele mwanamke wa watu anabakia kuhesabu misumari ya kwenye dari!
Tuweni wa kweli jamani huyu mwanamke naye ni binadamu sio malaika na yeye pia anafeelings kama wengine tu,akatokea mtu akamapproach ni vigumu kumkatalia ,na hapo unakuta kesha fanya kila jitihada mume wake ajirekebisha lakini wapi!
huyo term zake zikoje? anaprovide nini na nini?