femalepilot
JF-Expert Member
- Apr 8, 2014
- 258
- 118
Kuna thread ipo jukwaa la habari mchanganyiko,huko Morogoro mikese kuna mtoto wa miaka kumi na nne amelawiti watoto wadogo yani wadogo zaidi yake.Swali langu ni je sheria inasemaje mtu wa umri huo akitenda kosa la namna hio,adhabu yake ni nini?