T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 12,362
- 41,886
Kawaida ya watu waaminifu huwa tunateseka sana. Sio kwenye mapenzi tu hata kwenye real life tunapata disadvantages fulani. Muhimu ni kuishi inavyostahili.Uaminifu umenitokea puani.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kawaida ya watu waaminifu huwa tunateseka sana. Sio kwenye mapenzi tu hata kwenye real life tunapata disadvantages fulani. Muhimu ni kuishi inavyostahili.Uaminifu umenitokea puani.
Acha kejeli fala ww kama huna cha ku comment vunga babu.Kaa kwanza vuta vuta mda umri wako bado mdogo sana kuzungumzia habari za kutendwa, tatizo mnashindwa kujisomea na kufanya homework mnazopewa na walimu wenu mnakalia kunyanduana na kudanganyana kwa kuwaiga wahindi na wakorea,
Yea ni ukweli kabisa.Kawaida ya watu waaminifu huwa tunateseka sana. Sio kwenye mapenzi tu hata kwenye real life tunapata disadvantages fulani. Muhimu ni kuishi inavyostahili
Pamoja mkuu.Dah aisee umenitia moyo sana nashukuru sana ubarikiwe sana
Inasemekana pia wanawake wanene hawajui majukum yaoInasemekana ma handsome/wanaume weupe hawanaga hela, ukute hii ndo sababu. Stakula u handsome wako?
Unakutaga mwanaume ni mnene na mwanamke ni mmene sijui huwa inakuwaje?😂😂😂Inasemekana pia wanawake wanene hawajui majukum yao
Sent from my GT-I9500 using JamiiForums mobile app
Hii haihusiani na mada.Inasemekana ma handsome/wanaume weupe hawanaga hela, ukute hii ndo sababu. Atakula u handsome wako?