Kutengeneza content inayohusiana na pombe za kienyeji inaweza kuwa idea nzuri kwenye digital platform.

Kutengeneza content inayohusiana na pombe za kienyeji inaweza kuwa idea nzuri kwenye digital platform.

BabaMorgan

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2017
Posts
4,869
Reaction score
13,137
Jambo la msingi ni kutengeneza content yenye quality ya level za kimataifa mtiririko unakuwa kuangazia production process ya hicho kinywaji from scratch mfano pombe kama ulanzi unaangazia jinsi inavyotengenezwa mpaka kuwa tayari kwa matumizi.

Pia kunywa pombe yenyewe na kutoa mtazamo juu ya taste yake mdomoni

Mwisho unaonyesha jinsi ilivyokuchukua kama umechangamka design ya reality show fulani inayodeal na pombe za kienyeji tu.
 
Umechemka mkuu usije shangaa mtu aka chukua idea yako na kuanza kupiga hela cha muhimu ukipata idea ifanyie Kazi
 
Back
Top Bottom