Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +.
kazi ziwe na watu wanao withdraw walau dola 400 (shilingi milioni moja) kila mwezi
Kazi ziwe halali sio za kufanya kwa kujificha, mtu akishika laptop unayofanyia kazi roho inaenda mbio, unaogopa hata kumfundisha mwanafamilia hio kazi yako.