[emoji375][emoji375][emoji375]Yah, ina wezekana. Jifunze Forex. Karibu kwenye ulimwengu wa Forex,ila Pata elimu kwanza ndiyo ufanye hiyo kazi.
Inawezekana kabisa hii biashara kuwa kazi yako rasmi.
naam, mwambie kabisa forex inaweza kumuua kwa presha....wenyewe tushajizoeleaYah, ina wezekana. Jifunze Forex. Karibu kwenye ulimwengu wa Forex,ila Pata elimu kwanza ndiyo ufanye hiyo kazi.
Inawezekana kabisa hii biashara kuwa kazi yako rasmi.
kuhold nini?Jifunze ku hold coin na ku trade
We unafanya hiyo mkuu!Yah, ina wezekana. Jifunze Forex. Karibu kwenye ulimwengu wa Forex,ila Pata elimu kwanza ndiyo ufanye hiyo kazi.
Inawezekana kabisa hii biashara kuwa kazi yako rasmi.
Ndiyo Mkuu. Nime jiajiri uko....WE
We unafanya hiyo mkuu!
Here I am with more than 5 years huko na ni ajira yangu rasmi.Hapa sizungumzi kazi za kijanja janja unaotea kwa muda mchache unapiga dola kadhaa alafu baada ya hapo mchongo unakuwa ushachuja unaanza upya kujitafuta kwengine, nazungumzia kazi iwe ya uhakika kiasi kwamba kuna watu wamezigeuza ziwe ajira rasmi wanazifanya hata kwa miaka mitatu +.
kazi ziwe na watu wanao withdraw walau dola 400 (shilingi milioni moja) kila mwezi
Kazi ziwe halali sio za kufanya kwa kujificha, mtu akishika laptop unayofanyia kazi roho inaenda mbio, unaogopa hata kumfundisha mwanafamilia hio kazi yako.
Hakunaga pesa ya kudownload labda kwa wanaotaka kupigwa mkuuHELA ZA KUDOWNLOAD
Ume jikita kwenye kufanya nini hasa mkuu online, ishu gani yani.Here I am with more than 5 years huko na ni ajira yangu rasmi.
Sema inanifanya nijitenge na jamii muda mwingi niko ndani kama bundi
Poa. Mimi pair yoyote Mkuu. I dont trade pair, i trade setups mkuu. Na setups ziko sehemu yoyote.Sasa Sheikh embu tu scan market pamoja tafafdhali kama utakuwa na muda
Nipo tayari kwenye mt5 pair gani unaifuatilia?
Hizo ni indicators mkuu. Natumia price action kujua soko na siyo indicators. Indicators niliacha zamani mkuu.Setups una maanisha nini? Technicals kama macds na moving averages?
Twende GBPJPY mzee
Hakuna haja ya signal mkuu sema nikupe dara from A to Z from Monthly to 15 minute's timeframe alafu fanya entry kwenye 3 minute's huko.Yaani tupeane signal mze kama vp
Masuala ya data, interpretation, recruitment, na translation. Soon, nitajikita kwenye masuala ya software developmentUme jikita kwenye kufanya nini hasa mkuu online, ishu gani yani.