Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
ni lugha ya kikubwa hiyo ya kuombea 'mzigo' hakuna cha njia wala barabara ukizingatia akina mama kipindi hicho wanakuwa moodless, hivo lazima wazugwe kihivo.
Uzushi huo upuuze, njia inajiongezaga yenyewe ila huyo mjamzito afanye mazoezi tu hasa hasa kutembea.....
Mida ya jioni atembee taratibu umbali mrefu inasaidia
Doh ahsante Evelyn nimekupata mana nilikuwa najiuliza kama mume yuko mbali je achepuke? Kumbe inaongezeka yenyewe automatically!
Hiyo haihitaji kuzoea dushe, kwakua imeweza kuingia basi baada ya miezi tisa itatoka pia, aombe heri tu ajifunge salamaAhaahaahaa dah you made my day Evelyn bt huyu kakutana na mwanaume mara tatu tang azaliwe sa ana hof imenasa kabla hajazoea hizo mambo
oky nimewapata nilikuwa siijui hiyo njia ya kutembea Evelyn Salt
ni lugha ya kikubwa hiyo ya kuombea 'mzigo' hakuna cha njia wala barabara ukizingatia akina mama kipindi hicho wanakuwa moodless, hivo lazima wazugwe kihivo.