Njema kabisa
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 699
- 238
Salam kwenu wakuu,
Ni mara nyingi nimekuwa nikisikia habari za mama mjamzito kuwa anatakiwa atengeneze njia ya mtoto, kwa kukutana na mwenzi wake.
Je ni kweli kuna ulazima wa kufanya hivyo?
Na je hamna namna nyingine ya kutengeneza njia bila ku du?