Kutengeneza raw mango pickle nyumbani

Kutengeneza raw mango pickle nyumbani

Asante kwa ujuzi mpya, maana tulizoea ya kupika kila siku..... BAK ulifanikiwa kuipika?
 
Last edited by a moderator:
  • Thanks
Reactions: BAK
Nimefanikiwa Fixed Point ahsante sana ni bomba sana, nashukuru sana kwa kushare maujuzi yako ya jikoni. Vipi mambo lakini? Salam kwa wote uwapendanao pamoja na wale wa Barclays.

Asante kwa ujuzi mpya, maana tulizoea ya kupika kila siku..... BAK ulifanikiwa kuipika?
 
Last edited by a moderator:
Kuna majukwaa inabidi yafungwe mwezi wa Ramadhani, ama yafunguliwe kwa mda maalum.

Na picha zipigwe marufuku kabisaaaaaaa.

Azawais......... lol.
 
Kuna majukwaa inabidi yafungwe mwezi wa Ramadhani, ama yafunguliwe kwa mda maalum.

Na picha zipigwe marufuku kabisaaaaaaa.

Azawais......... lol.

Ahahaha dada Karucee...

images.jpg
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom