Mkuu siku niliyosema sirudii nakumbuka ilizingua sea piano yangu ya kwanza nikasema ntatengeneza mwenyewe Kwa msaada wa youtube,Ile nimemaliza kuifungua hata kuirudishia tu ilivyokua nilishindwa ilibidi niibebe kama furushi nkaitupe Kwa fundi.Yaani yule fundi alishangaa sana ila nlimdanganya imeanguka.