Kutengeneza TV

Kutengeneza TV

Mkuu siku niliyosema sirudii nakumbuka ilizingua sea piano yangu ya kwanza nikasema ntatengeneza mwenyewe Kwa msaada wa youtube,Ile nimemaliza kuifungua hata kuirudishia tu ilivyokua nilishindwa ilibidi niibebe kama furushi nkaitupe Kwa fundi.Yaani yule fundi alishangaa sana ila nlimdanganya imeanguka.
 
Sijui uko wapi ila kuna fundi mzuri yuko tabata kimanga na bei zake za kawaida sana, mie tv yangu ilizingua hivyo hivyo ikazima fundi chapu katengeneza
 
Back
Top Bottom