Wote tukinunua mashine na kutengeneza harafu mnunuzi vigae atakuwa nani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanapatikana wapi MkuuHabari za hapa,napenda kuwashirikisha biashara moja nzuri
Kuna taasisi ya serikali inaitwa nhbra-national house building research agency,hawa wanatoa mafunzo jinsi ya kutengeneza vigae vya kupaua, ni utaalam uliofanyiwa utafiti, kuweza kutengeneza vigae vya kupaua nyumba kwa bei rahisi,ni biashara ambayo imewanyanyua wengi sana.mashine zote na vifaa vingine vyote wanauza pale,kwa ambaye atahitaji maelekezo asisite kunicheki zaidi
Wanapatikana wapi Mkuu
Contacts tafadhali
Leta picha ya vigae. Pia ungekuja na maelezo zaidi kuhusu materials na bei ua products ili tupate mshawasha
Sikiliza,unaweza kununua ambavyo wametengeneza pale pale, na ukapaua,au unaweza kununua machine zake ukaenda kutengeneza za biashara kuuzia wengine,interest yangu ni kwa yule anayetaka kufanya biashara,ntamsaidia apate mashine na vifaa kwa bei ya chini,pale kigae wanauza kimoja 500,kinatengenezwa kwa mchanga,cement, katani ,na rangi
Mashine Bei yake ni very cheap,250,000 ,lakini kuna kitu kinaitwa mould ambazo ndio zinaweka shape ya kigae ,hizi kdg ndio bei ghali,kwa moja ni 25,000 na ili uweze kutengeneza vigae vingi unahitaji kama 100 au 200.
So interest yangu kuwafahamisha kuhusu hii biashara ni kuwa mimi ninavyo hivi vifaa ,lakini bei yake ntafanya kwa mashine 200,000 na mould moja 20,000
Mkuu mawasiliano!Habari za hapa,napenda kuwashirikisha biashara moja nzuri
Kuna taasisi ya serikali inaitwa nhbra-national house building research agency,hawa wanatoa mafunzo jinsi ya kutengeneza vigae vya kupaua, ni utaalam uliofanyiwa utafiti, kuweza kutengeneza vigae vya kupaua nyumba kwa bei rahisi,ni biashara ambayo imewanyanyua wengi sana.mashine zote na vifaa vingine vyote wanauza pale,kwa ambaye atahitaji maelekezo asisite kunicheki zaidi
Mkuu mafunzo kiasi gani cha pesa?Mashine Bei yake ni very cheap,250,000 ,lakini kuna kitu kinaitwa mould ambazo ndio zinaweka shape ya kigae ,hizi kdg ndio bei ghali,kwa moja ni 25,000 na ili uweze kutengeneza vigae vingi unahitaji kama 100 au 200.
So interest yangu kuwafahamisha kuhusu hii biashara ni kuwa mimi ninavyo hivi vifaa ,lakini bei yake ntafanya kwa mashine 200,000 na mould moja 20,000