Habari za hapa,napenda kuwashirikisha biashara moja nzuri
Kuna taasisi ya serikali inaitwa nhbra-national house building research agency,hawa wanatoa mafunzo jinsi ya kutengeneza vigae vya kupaua, ni utaalam uliofanyiwa utafiti, kuweza kutengeneza vigae vya kupaua nyumba kwa bei rahisi,ni biashara ambayo imewanyanyua wengi sana.mashine zote na vifaa vingine vyote wanauza pale,kwa ambaye atahitaji maelekezo asisite kunicheki zaidi