Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

Nape anafunika kombe ili mwanaharamu apite, kibanda zimemponda mbio za urais ndani ya ccm kuelekea 2015, imemsababishia ang'olewe kucha bila ganzi. Akina nape wanafanya mchezo!
 
SIJAELEWA sentensi hii " Kauli hii inaakisi maoni kadhaa yanayosambazwa tangu juzi katika maeneo na mitandao kadhaa,yakiwanukuu baadhi ya makada namashabiki wa CCM ambao wanasema wanalenga kuinusuru serikali isihusishwe na tukio la kutekwa kwa Kibanda. "

Ina maana kila tukio linalotokea hapa nchini linalohusu utesaji au mauaji, lazima Serikali ihusike? ukisikia propaganda ndo hizi.
 
Rais wetu ndio anayetakiwa kuwa mkali kwa familia yake na kuwaeleza wanamweka mahali pabaya kama kiongozi wa nchi.Labda kama hili hawalielewi.Unless kama Urais wake ni wa Familia yake.

Hawa akina BASHE na RIDHWANi wana mambo yao binafsi si unajua tena Vijana? hakuna sababu yoyote ya kumhusisha Rais katika hili.
 
Nape anafunika kombe ili mwanaharamu apite, kibanda zimemponda mbio za urais ndani ya ccm kuelekea 2015, imemsababishia ang'olewe kucha bila ganzi. Akina nape wanafanya mchezo!
Kwani KIBANDA ana mpango wa kugombea urais.
 
the one who hires the investigatives should be included in the list of suspects,

Wait... Unakumbuka Mwanakijiji alihoji hapa mwishoni mwa mwaka jana kuhusu safari iliyokuwa na utata ya Ridhiwan kwenda ukerewe? Unakumbuka Kibanda mwezi uliopita aliandika makala inayofichua chuo cha kigaidi kinachomilikiwa na Aljaazera Islamic group kule Ukerewe? N aunakumbuka hao Aljaazera walimpa Kibanda siku saba akanushe hiyo habari, na Kibanda akakataa kwa sababu alikuwa na uhakika nayo?
:nono::nono::nono:
 
kwasababu polisi wameshindwa kazi na mwanahalisi wamedhirisha wana uwezo mkubwa ktk mambo ya kipelelezi, embu wawafungulie ili watubaiishie hao wanyama anaowajua nahum nahuye.
 
huo ni mtazamo wenu, na sidhani kama tukio hili nia busara kulichanganya na mambo ya siasa.Napia ni kuwatafutia watu uhasama na jamii inayo wa zunguka.(TAFADHALI TULIO HUMU JAVINI TUSISEME HIVI)
 
ipo siku watajutia kauli yao hiyo,kivuli kinachowafunika kila siku kinasogea watashangaa siku watakaojikuta waapo juani!!!
 
Wait... Unakumbuka Mwanakijiji alihoji hapa mwishoni mwa mwaka jana kuhusu safari iliyokuwa na utata ya Ridhiwan kwenda ukerewe? Unakumbuka Kibanda mwezi uliopita aliandika makala inayofichua chuo cha kigaidi kinachomilikiwa na Aljaazera Islamic group kule Ukerewe? N aunakumbuka hao Aljaazera walimpa Kibanda siku saba akanushe hiyo habari, na Kibanda akakataa kwa sababu alikuwa na uhakika nayo?
:nono::nono::nono:

Mkuu unakumbuka baada ya makala hiyo, Vyombo vya dola vililifanya uchunguzi na kugundua kuwa ni uzushi na kwamba hakuna chuo kama hicho?
 
Huu sio udhaifu wa ccm wala viongozi wetu ila NI UDHAIFU WA SISI WANANCHI wenyewe, haiwezekani tufanywe wajinga kiasi hiki. Wakati wa ulimboka, Kova alijinadi mbele ya vyombo vya habari kuwa wamemkamata mtuhumiwa mkenya ilhali wakijua ni uongo.

Akafa Mwangosi, tume ya nchimbi wakaja na majibu ya hovyo hovyo tupo kimya tu. Ujinga huo hauwezi kufanywa na nchi nyingine. Tumewapa sisi nafasi ya kufanya yoote na kutudharau kiasi hiki.
 
Mungu ibariki Tanzania. Kila anayesema ukweli juu ya wanaotuongoza ni lazima ushughulikiwe. 2015 tusifanye makosa.
 
Mkuu unakumbuka baada ya makala hiyo, Vyombo vya dola vililifanya uchunguzi na kugundua kuwa ni uzushi na kwamba hakuna chuo kama hicho?

Naomba reference yeyote ya taarifa au uchunguzi huo wa vyombo vya serikali. Ninachojua mimi serikali ilitoa taarifa kukanusha uuingiaji wa askari wa kigeni kupiga watu kama ilivyoripotiwa na mbunge. Hiyo ilikuwa kitu tofauti sana na uwepo wa chuo cha kigaidi...
 
suala la kutekwa na kuumizwa kwa kibanda limegubikwa na utata mwingi. ila kwa vile CHADEMA wamepotosha ukweli wa kuishutumu serikali kuhusiana na tukio hilo, wao pia hawapo salama kwa vile wanamuona kibanda kama ni adui wao
 
Wait... Unakumbuka Mwanakijiji alihoji hapa mwishoni mwa mwaka jana kuhusu safari iliyokuwa na utata ya Ridhiwan kwenda ukerewe? Unakumbuka Kibanda mwezi uliopita aliandika makala inayofichua chuo cha kigaidi kinachomilikiwa na Aljaazera Islamic group kule Ukerewe? N aunakumbuka hao Aljaazera walimpa Kibanda siku saba akanushe hiyo habari, na Kibanda akakataa kwa sababu alikuwa na uhakika nayo?
:nono::nono::nono:
:der::der::der::der::der::A S-confused1::A S-confused1:
 
Mkuu unakumbuka baada ya makala hiyo, Vyombo vya dola vililifanya uchunguzi na kugundua kuwa ni uzushi na kwamba hakuna chuo kama hicho?
without evidence you have no right to speak ,prove it beyond 0' reasonable dought kuwa hamna hicho chuo.
 
Back
Top Bottom