Kuteswa kwa Kibanda: Ridhiwani na Nape matatani!

Ama kweli yule msanii wa bongo fleva anaitwa ROMA kwenye wimbo wake 2030 hakukosea aliposema"RIDHIWANI leo hafanani na MAKONGORO"
 
riz1 kichwani ni msala.like father like son, hamkumbuki hii; "wanafunzi wanapata mimba kutokana na kiherehere chao".by jakaya kikwete
 
hii yote ni kupoteza ukweli tu, CDM ndio wahusika wa hii kitu mbaya na wanataka kupoteza watu na hii gia ya riz1.
 

Kweli mkuu nakuunga mkono.Neno Tz ni inchiya amani kwangu naona nineno la kutudharau nasisi tunakubari kudharauliwa wakati tukijua niujinga uliopindukia,eti kwakuwa tumeshasahau mamboya Epa,meremeta,richmond,rada,ulimboka,mwangosi kuibiwa kura naviongozi kufanya biashara hata ikulu eti na hili tuaminishwe ni Cdm wamefanya.Naamini wanafanyahivyo kwakuwa Watanzania wengi uelewa wao nimdogo watawadanganya tu!
 
Unajua mtu unapokuwa lishabiki la maCCM directly unakuwa huna utu ndani yako, kitendo tu cha kuwa na kadi ya maCCM ni hatari hata zaidi ya magaidi na watuhimiwa wa ICC, Ukweli ni kuwa Ridhiwani na Nape ni vijana wasaliti na wamwaga damu kwani haiwezekani ushabikie kipropaganda mambo serious tena ya uhai wa mtu kama haya.

Wito: 2015 iwe kufa kipona makamanda yani mpaka kieleweke kwan hata hv sasa tumeshawadekeza vya kutosha.
 
Mara nyingi uwa nashindwa kufahamu kwanini huyu Ridhiwani na familia ya mkuu wa kaya wamekuwa wakijushughulisha na siasa kwa kiwango kikubwa kuliko familia zote za wakuu wa kaya waliowaishika Ikulu ya DSM. Nashindwa kuelewa kuwa kuna nini nyuma ya pazia. Hivi Mama Maria na akina Madaraka nk walifanya kama haya tunayoyaona kwa akina Ridhiwani? Hivi watoto wa Mwinyi na wake zake walifanya haya anayoyafanya huyu Ridhiwani sijui? Hivi watoto wa Ben ambao hata mimi siwajui na Mama Ben walifanya haya wanayoyafanya hawa wa familia ya sasa ya mkuu wa kaya? Ukweli ni kuwa hii familia ya sasa ya mkuu wa kaya imefanya ikulu kama sehemu ya kupata umaarufu na kuvuna mambo yao kiurahisi. Naomba JK awashughulikie hawa wanafamilia wake, wanatuumiza sana watanzania kwa kauli kama hizi? Hivi kweli mtoto wa raisi unayeweza ukakaa kuanza kuwadharau watu waliomuweka baba yako madarakani? Nani ajuaye kuwa Kibanda nae alikuwa mpiga kura wa JK? Nani ajuaye? Nadhani muda umefika sasa, familia ya Ikulu itambue kuwa kuna siku watatoka pale Ikulu, na wakitoka watarudi kuwa raia wa kawaida.
 
umesahau viongozi wenu walivyo shabikia tukio la Dr. Uli?
 

"Hayo ni maoni yake binafsi na wala sio ya chama" unakumbuka haya maneno wakati ule Mtei alivyo ropoka?
 

Ni PM mkuu tujuzane zaidi kwa kweli tunakopelekwa sio pazuri.
 
hii yote ni kupoteza ukweli tu, CDM ndio wahusika wa hii kitu mbaya na wanataka kupoteza watu na hii gia ya riz1.

Nyie endeleeni tu kuimba hizo tenzi zenu za Shaban Robert lakin mkae mkijua 2015 patachimbika hata nuie mawalakala wa lumumba humu JF hatutawaona tena maana mtakuwa mmekimbilia sudan na msumbiji kwenda kuomba hifadhi ya muda, hamtaamin kumuona Riz1 na Nape wanashare kikombe cha uji kwenye makambi ya hifadhi za wakimbizi.
 
Haka ka-ridhiwani haka! Nyie subirini tu,
 
Mkwara wa JF huo, utabaki kuwa chini ya ungozi wa CCM maisha yako yote sio 2015 tu.
 
"Hayo ni maoni yake binafsi na wala sio ya chama" unakumbuka haya maneno wakati ule Mtei alivyo ropoka?

Piga 2 porojo zako ila subirieni kihama na dhoruba inayokuja 2015, kwani haya maCCM tunaoyaona leo hatutayaona tena. Period.
 
Mkwara wa JF huo, utabaki kuwa chini ya ungozi wa CCM maisha yako yote sio 2015 tu.

Sema tu mkwala wa JF, hujui nguvu ya social network that why unajifariji, nenda kaburin kamuulize Ghadaf nguvu ya social media ndiyo atakwambia vizuri. Period.
 
Piga 2 porojo zako ila subirieni kihama na dhoruba inayokuja 2015, kwani haya maCCM tunaoyaona leo hatutayaona tena. Period.
Sawa mkuu, kumbuka hicho kihama na dhoruba inayokuja itawakuta wote sisi na wewe na familia zetu lakini hao wanao watumia kisiasa watakuwepo Dubai kwenye nyumbe walizo nunua.

Pamoja na haya yote, CCM, chama kinacho jali amani na usalama wa hii nchii watakuwepo kutuepusha na nia zenu chafu.
 
Majebere, hivi na wewe umepewa U-DC au RC au ni bendera fuata . . . .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…