Kutetemeka kwa usukani Gari ikifika 75 -85km/h Noah

Kaifanyie wheel balance & wheel alignment, Hilo tatizo litaisha
Na niongezee pia, aangalie wheel bearing assembly hub na front tire rod end...kama kuna play hapa usukani lazima ucheze.
 

Nadhani si "while balance ", una maana ya "wheel balance & alignment " ......

Hongera na vizuri sana kwa kupata utatuzi wa shida yako....

Hata mimi gari yangu ina tatizo linalofanana na ya kwako.....

Yangu ni Suzuki Vitara 2Di/c Turbo. The same, ikichapa speed kuanzia 70km/h inaanza kutetema usukani mpaka unaweza kuanza kuhisi labda tairi zinataka kuchomoka...

Leo nilikuwa na fundi, maelezo aliyonipa ni kuwa nicheki tairi kama zina nundu nundu, ndiyo yaweza kuwa sbb ya mtetemo...!!

Sikumwelewa kwa sbb japokuwa tairi za gari langu siyo mpya, lakini bado ziko ktk hali ya ubora wake... Kwa kweli maelezo yake hayakuniingia hata kama siyo fundi...!!

Sasa Nadhani na mimi nimepata pa kuanzia, nitakwenda garage zenye mafundi wabobezi wafanye "wheel balance & alignment"

Thank you JF Garage...
 
mrejesho mkuu
 
mrejesho mkuu

Aisee kumbe kiuhalisia hili ndilo tatizo la msingi linaloleta mtikisiko wa sterling gari inapokuwa ktk mwendo wa speed kuanzia 70km/h kwenda juu ktk barabara ambayo ni smooth (lami) ...

Chini ya speed 70km/h , hutahisi tatizo hili. Gari itakuwa kawaida tu. Ikizidi hapo, hutaweza kuishikilia steeling kwa mkono mmoja na utadhani kuna dosari ktk tairi zako na pengine kusimama na kucheki.....

Japokuwa nilifanya na marekebisho mengine madogo madogo, lakini the main problem ni gari kukosa wheel balance pamoja na wheel kutokuwa aligned na kwa maana hiyo kunakuwa na kutowiana sawasawa kwa matairi yanapozunguka hata kusababisha mtikisiko....

Haya ndiyo maelezo mafupi ya juujuu niliyoelezwa na fundi aliyenifanyia kazi.

Kwa sasa gari imetulia barabarani mpaka unajihisi unaendesha gari japokuwa ni kuukuu and 4th used car...!!
 
Humu kuna mafundi wazuri sana, wengine warudi gereg bado hawa faham lolote, Miluzi mingi hupoteza mbwa nakutojuwa aelekee wapi, nia yangu in njema sana
 
Hayo ndio maelezo sahihi ktk tatizo hill LA mtetemo,mengine yoote in kutojuwa ufundi ,, Huku kwetu huwa tunawaita manyoka yaani no mafundi wasie na uwezo ktk utatuzi ,ngebe nyingi tu
 
Hayo ndio maelezo sahihi ktk tatizo hill LA mtetemo,mengine yoote in kutojuwa ufundi ,, Huku kwetu huwa tunawaita manyoka yaani no mafundi wasie na uwezo ktk utatuzi ,ngebe nyingi tu
 

Mafundi hawajielewi, check balancing
 
Mkuu nilishawahi kuwa na Noah na ikawa na hilo tatizo, nilipouliza kwa wataalam wakaniambia tairi zimeisha nibadili tatizo litaisha, nikabadili zile tairi za mbele na kweli lile tatizo likaisha sikuona tena vibration ya steering at 85km/h na kuendelea, jaribu kucheki tairi zako za mbele ikiwezekana funga mpya, litaisha tu.
 
hapo ni short and clear, nenda kapime wheel alignment na wheel balance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…