blea
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 379
- 114
Cheki engine mounting na pia spark plugs pia ignition coil kama inatoa moto sawa sawa ...Asanteni Sana, nikiwasha injini ,Gari inatetemeka pia
Engine mounting zikiwa zimekatika zinasababisha mtikisiko wa engine kwenda kwenye body
Spark plugs zikiwa hazichomi vizuri zinasababisha engine kutikisika hivyo kufanya gari kutikisika pia
Ignition coil ikiwa mbovu huwa zinatoa Umeme chini ya kiwango hivyo kufanya spark plugs kutochoma vizuri na kisababisha engine kutikisika