Kutetemeka kwa usukani Gari ikifika 75 -85km/h Noah

Kutetemeka kwa usukani Gari ikifika 75 -85km/h Noah

Asanteni Sana, nikiwasha injini ,Gari inatetemeka pia
Cheki engine mounting na pia spark plugs pia ignition coil kama inatoa moto sawa sawa ...

Engine mounting zikiwa zimekatika zinasababisha mtikisiko wa engine kwenda kwenye body

Spark plugs zikiwa hazichomi vizuri zinasababisha engine kutikisika hivyo kufanya gari kutikisika pia

Ignition coil ikiwa mbovu huwa zinatoa Umeme chini ya kiwango hivyo kufanya spark plugs kutochoma vizuri na kisababisha engine kutikisika
 
Alafu hlo tatizo linatulia kama utavuka speed 120 sasa ghafla upunguza ad chini ya hapo kama kuna mtu jirani anaweza kuhizi umepatwa na degedege arifu maana sio kwa kuvibrat huko! Af dawa yake ndogo tu nenda na buku kumi yako tu utapimiwa wheel balance na tatizo litaisha.
 
Wapendwa naomba msaada ,ninagari Noah nikifika speed 75-85 usukani unatetemeka sana hadi dashboard inatikisika nikifika 85 above inatulia ,nimepeleka kwa fundi amecheck bolljoints, like hands Na bush zote zipo safi , natakarudisha tena Leo kwa fundi, naomba ushauri wenu manaa bavurugwa hatafundi ananambia nae anashindwa elewa.
Kapime magurudumu.W/B uzito wa magurudumu.
 
Punguza[emoji263]
Mkuu ukiwa unavuta bangi sio wote wanavuta bangi wengine tushapata matatizo kama hayo na solution ilikua hiyo so usikalili kama symptons zote za gari tatizo ni moja.

Ni sawa na kwamba sio kwamba ukiumwa kichwa tatizo ni malaria saa nyingine macho au uchovu

Jaribu kuwa great thinker
 
Cheki engine mounting na pia spark plugs pia ignition coil kama inatoa moto sawa sawa ...

Engine mounting zikiwa zimekatika zinasababisha mtikisiko wa engine kwenda kwenye body

Spark plugs zikiwa hazichomi vizuri zinasababisha engine kutikisika hivyo kufanya gari kutikisika pia

Ignition coil ikiwa mbovu huwa zinatoa Umeme chini ya kiwango hivyo kufanya spark plugs kutochoma vizuri na kisababisha engine kutikisika
i said something like this kuna kenge moja akaona navuta bangi
 
Nimefanya while balance Na while aliement nitatest kesho kwenye longway dar to Moro , SAA 2 nitawapa jibu, ila nineona kama imetulia vile ila kesho napoenda kazini ndio nitajuaa
 
Badilisha breki za mbele,au diski rota,hilo tatizo limewahi kunikumba hats mi kwenye Noah,sana disk rota
 
Mimi tatizo ni tofauti nikiwa speed km 100 nikifunga brek ndo kuna mtikisiko itakuwa nn
 
Plugs
Coil
Exhause imetoboka
Pump ya mafuta
tank lina uchafu

hivyo vyote vinapelekea gari kutumia nguvu nyingi kuchoma mafuta
Khaaa.....kweli kazi imemkuta fundi.

Umenikumbusha dada mmoja yeye alisikia propeller ni kifaa cha gari. Basi tatizo kidogo likitokea lazima aulize sio propeller kweli?? hata kama gari limegoma kuwaka yeye ni propeller tu.
 
Hilo tatizo lilinusumbuaga saaana,kumbe Tairi moja INA nundu,Mzee Ni Tairi,hayo ya wheel balance, Gari ingekuwa inahama!
 
Khaaa.....kweli kazi imemkuta fundi.

Umenikumbusha dada mmoja yeye alisikia propeller ni kifaa cha gari. Basi tatizo kidogo likitokea lazima aulize sio propeller kweli?? hata kama gari limegoma kuwaka yeye ni propeller tu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aaasante mkuu
 
wapendwa nashukuru sana kwa michango yenu,kweli Jf ni nikisiwa cha maarifa, nimefanikiwa kupata suruhu ya Shida yangu ,kuna fundi alinidanganya niwekee oko kwenye tairi nimekwenda kupima while balance tairi inasoma 250,yani kama ya Prado, kumbe ni ilemimaji ndani ya tairi (oko ) .

nashukuru baada ya kuosha kwa maji Tairo imesoma 00, Gari imetulia kama mpya kabisaa.

mbarikiwe sana
 
Back
Top Bottom