The Kop JF-Expert Member Joined Aug 7, 2010 Posts 209 Reaction score 93 Mar 23, 2011 #1 mimi nina miaka 25, situmii kileo chochote lakini nakabiliwa na tatizo la kutetemeka mikono hususan wakati wa kuandika. Tatizo linasababishwa na nini na naomba msaada wa ki taalam kama upo.....!
mimi nina miaka 25, situmii kileo chochote lakini nakabiliwa na tatizo la kutetemeka mikono hususan wakati wa kuandika. Tatizo linasababishwa na nini na naomba msaada wa ki taalam kama upo.....!
Gaga JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 4,558 Reaction score 1,970 Mar 24, 2011 #2 N kuwa na tension na kutojiamini na unachofanya
Chimunguru JF-Expert Member Joined May 3, 2009 Posts 10,678 Reaction score 4,370 Mar 24, 2011 #3 parkinson disease km muhamad ally
pmwasyoke JF-Expert Member Joined May 27, 2010 Posts 4,760 Reaction score 3,324 Mar 24, 2011 #4 Chimunguru said: parkinson disease km muhamad ally Click to expand... Kutokana na uwezekano huo ni bora ukaenda hospitali.
Chimunguru said: parkinson disease km muhamad ally Click to expand... Kutokana na uwezekano huo ni bora ukaenda hospitali.