kutetemeke mikono kunasababiswa na nini?

kutetemeke mikono kunasababiswa na nini?

The Kop

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2010
Posts
209
Reaction score
93
mimi nina miaka 25, situmii kileo chochote lakini nakabiliwa na tatizo la kutetemeka mikono hususan wakati wa kuandika.

Tatizo linasababishwa na nini na naomba msaada wa ki taalam kama upo.....!
 
N kuwa na tension na kutojiamini na unachofanya
 
Back
Top Bottom