Anatumia ile system ya kahaba style ya kubadili madanga bandu bandikaHabari wadau.Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je atakuwa amefanya kazi gani ndani ya miezi 4?
Watanzania tubadilike hii nchii tunaiharibu wenyewe kwa kukubali mtu anateua watu wasiojulikana wametoka wapi alafu anawaondoa anavyotaka tukatae uozo huu uteuzi uwe na mipaka sio mtu akiamka tu asbh anabadilisha viongozi kwa Kweli tumelala usingizi.
Tatizo ni katibaHabari wadau.Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je atakuwa amefanya kazi gani ndani ya miezi 4?
Watanzania tubadilike hii nchii tunaiharibu wenyewe kwa kukubali mtu anateua watu wasiojulikana wametoka wapi alafu anawaondoa anavyotaka tukatae uozo huu uteuzi uwe na mipaka sio mtu akiamka tu asbh anabadilisha viongozi kwa Kweli tumelala usingizi.
Wako kwa maslahi yao. They don't careHabari wadau.
Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je atakuwa amefanya kazi gani ndani ya miezi 4?
Watanzania tubadilike hii nchii tunaiharibu wenyewe kwa kukubali mtu anateua watu wasiojulikana wametoka wapi alafu anawaondoa anavyotaka tukatae uozo huu uteuzi uwe na mipaka sio mtu akiamka tu asbh anabadilisha viongozi kwa Kweli tumelala usingizi.
Katiba ndiyo inamtaka ateue.Hili suala na mimi sijaelewa kwa kweli, mtu kapata za uhamisho hata mwaka bado anapata tena
Nafasi nyingi ilitakiwa wateuliwa wake waidhinishwe na bunge pia.Katiba ndiyo inasmea ateue. Rais hafanyi uteuzi kwa utashi wake. Kuweni waelewa basi!
This is point.Habari wadau.
Nimekuwa nikitafakari utendaji wa rais wa tz .kila siku ni kufanya uteuzi kwa masirahi ya nani??Unakuta mtu amekaa kituo cha kazi miezi 4 Alafu anahamishwa kwenda kituo kingine je atakuwa amefanya kazi gani ndani ya miezi 4?
Watanzania tubadilike hii nchii tunaiharibu wenyewe kwa kukubali mtu anateua watu wasiojulikana wametoka wapi alafu anawaondoa anavyotaka tukatae uozo huu uteuzi uwe na mipaka sio mtu akiamka tu asbh anabadilisha viongozi kwa Kweli tumelala usingizi.
This is point.
Kuna viongozi wameteuliwa na walikuwa wana makosa ambayo wameyafanya huko nyuma yenye ushahidi kabisa, lakini wameteuliwa tena bila kufanya ufatiliaji na kuyashughulikia yale makosa yao. Kwa maana nyingine makosa yao yametupwa kapuni bila kuwajibishwa.
Ni dhahiri kabisa kuwa hakuna muongozo maalum ndani ya serikali juu ya Teua na Tengua zinazofanywa.
Niliwahi kusoma kifungu fulani (sikumbuki ni katika provision ipi) kinaelekeza kuwa wateuliwa wanatakiwa kuwa senior officers wa taasisi za umma.Ukishakua na mamlaka ya hovyo usitarajie ukawa na nafasi ya kuoata watu sahihi.
Hapo ni kupunguza mamlaka ya uteuzi baadhi ya nafasi ziombwe na watu kufanyiwa usaili.
Zamani ulikuta teuzi nyingi mfano za wakurugenzi walikuwa wakitoka wakuu wa vitengo ambao tayar wanauzoefu.
Ila siku hizi, ukiwa chawa jina likapenyezwa umelamba teuzi.
mamlaka ya uteuzi ikijiridhisha unafaa nafasi Fulani kulingana na sifa za kitaalamu na ujuzi kwa uthibitisho halali wa vyeti vyako vya kitaalamu, basi utapangiwa kituo cha kazi 🐒Habari wadau.