Edit jina lake ni Emmanuel John Nchimbi. Chimbi umelipata wapi?Kuteuliwa kwa Dr Nchimbi kuwa Katibu mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje, mtu mwenye tamaa ya Kuiona Tanzania inaendelea kugh'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, Mtu ambaye hategemewi kuona muungano unateteleka, mtu ambaye hawezi kuvuka mto bila kupima mto kwa kijiti, kwa ufupi wewe kunywa chai yako kwa raha zako chaguzi zote na zile za uchaguzi mkuu ni Mseleleko.
Hapo kwa 'ngazi zote' sio sahihi ππ. Kuna ngazi moja lazima iwahi ili iwaonye ngazi ya chini yake kuwa mchujo utaangalia kazi walizofanya kwenye chama na hivyo wafanye kazi za chama.Nasubiri apige MARUFUKU makada wa ngazi zote walioanza compaign kabla ya muda.
Jamani,hampendi amani. Mama huyu Kina Kirefu asikunyime amani. Kazi maalum na wenyewe wawekee kazi maalum. Principle ni ile ile you trust no one. Hii nchi ngumu sana.Kikwete ofisi za ccm na serikali tusahau kustaafu amestafu kiutendaji kwenye makaratasi kiutendaji yumo
Nchimbi kijana wake kazi maalum enzi na enzi
CCM iko strong na very comfortable this time around. Ina uhakika wa kila kitu, kila idara kila sehemu πKuteuliwa kwa Dr. Nchimbi kuwa Katibu Mkuu wa chama ni turufu kubwa sana, chama kimerudi mikononi mwa wenyenacho, wenye uchungu nacho, ambao hawategemewi kuezua nyasi ili nyumba ivuje.
Mtu mwenye tamaa ya kuiona Tanzania inaendelea kung'ara na kuwa kielelezo cha Amani na mshikamano, mtu ambaye hategemewi kuona muungano unateteleka, mtu ambaye hawezi kuvuka mto bila kupima mto kwa kijiti, kwa ufupi wewe kunywa chai yako kwa raha zako chaguzi zote na zile za uchaguzi mkuu ni Mseleleko.