Naam.Kupanga ni kuchagua
Kila mtu na lwake
Karibu miaka 2 iliyopita, nililiongelea hilo suala!Mkuu,
Hili ni jambo la msingi, msingi, msingi kabisa.
Kwa nini Watanzania wengi wanalichukulia poa poa tu?
A simple phonecall kumjulia hali mteule na kumuuliza kama atakubali uteuzi ingemuonesha courtesy mteule, na ingemuondolea aibu ya kukataliwa publicly rais.
Ikulu imeshindwa hata hili?
Hrere is my reading of this chess game.Karibu miaka 2 iliyopita, nililiongelea hilo suala!
Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi. Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo; Nimeangalia video fupi ya hotuba...www.jamiiforums.com
Baada Rais Magufuli kufariki, Rais Samia alipoanza kuunda timu yake, naye akaendelea na mtindo huo huo wa kuteua watu bila kufanya nao mazungumzo!
Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya
Daa hata mimi nimetamani kuelewa ila nimetoka kapa.[emoji23][emoji23][emoji23] hizo laws of power zipo kwenye kitabu kitafute utagain mambo mengiwww.jamiiforums.com
Na mpaka sasa, mtindo huo bado unaendelea.
To me, that’s downright weird!!
I see it as a matter of decency and common courtesy.
Kwa nini wengine hawalioni hilo??!!!
Ohh so we agree,.public servants are in for whatever befalls them from their employerNaam.
Lakini ukila mavi, watu wakisema unakula mavi utatuambukiza kipindupindu, that is a public health issue, hutakiwi kujitetea kwa kusema "kupanga ni kuchagua, kila mtu na lwake"
To each their ownWao wanafurahia kula kwa urefu wa kamba zao.
Mimi nawashangaa wameridhika kufungwa kamba, tena fupi!
Siwalaumu, ila ni maisha ambayo nimeyakwepa tu siyataki.
Mama yangu alifanya kazi Ikulu ya Nyerere na Ofisi ya PM, najua ukiritimba wa serikalini.
No we do not agree, you totally do not understand that public servants are people and even if they were robots, robots too need preparation.Ohh so we agree,.public servants are in for whatever befalls them from their employer
Cheers xoxo
But if you force a public servant to do something he did not even agree to, that's not really leaving to each their own.To each their own
Its overridden ili tu kuonyesha mbabe naniKaribu miaka 2 iliyopita, nililiongelea hilo suala!
Modus operandi ya Rais Magufuli ni ya ajabu!
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi. Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo; Nimeangalia video fupi ya hotuba...www.jamiiforums.com
Baada Rais Magufuli kufariki, Rais Samia alipoanza kuunda timu yake, naye akaendelea na mtindo huo huo wa kuteua watu bila kufanya nao mazungumzo!
Mtu Pekee aliyekataa teuzi wakati wa Magufuli ni ndugu Maswanya
Daa hata mimi nimetamani kuelewa ila nimetoka kapa.[emoji23][emoji23][emoji23] hizo laws of power zipo kwenye kitabu kitafute utagain mambo mengiwww.jamiiforums.com
Na mpaka sasa, mtindo huo bado unaendelea.
To me, that’s downright weird!!
I see it as a matter of decency and common courtesy.
Kwa nini wengine hawalioni hilo??!!!
But they agreed to the jobBut if you force a public servant to do something he did not even agree to, that's not really leaving to each their own.
That's low key kidnapping.
In this digital era utafeli before u beginNo we do not agree, you totally do not understand that public servants are people and even if they were robots, robots too need preparation.
You don't just ambush a robot and have it stop whatever it's doing cause you are about to ruin, the image and styles that it's used to.
Hii attitude ndiyo inafanya Afrika iwe masikini mpaka kesho.But they agreed to the job
And its conditions thereof
Kila nafasi ukiuliza mtu mmoja mmoja hutoboi na leakage will be too much wkt baadhi ya vitu ni strategic na suala la kumchinja kobe ni timing
I am trying to feel frm Ikulu's point of view
We have fundamental and irreconcilable philosophical differences that render this exchange meaningless.In this digital era utafeli before u begin
Ni mbere kwa mbere🤣
Shwaa mtu uko Namanyere
Hatari sana
So informing them prior will just get us out of poverty?Hii attitude ndiyo inafanya Afrika iwe masikini mpaka kesho.
I really don't think we can understand each other.
You and I don't see eye to eye, therefore we can't relate.
-
Not badWe have fundamental and irreconcilable philosophical differences that render this exchange meaningless.
It is important to respect that.
Confidence ya kumdindia Mh Rais says a looootNiache million 10 nikasumbuke na laki 9 😅
If you really want to go there, ukuu wa wailaya hauna maana kiuongozi na kiuchumi.So informing them prior will just get us out of poverty?
I get you labda hizi nafasi watu wawe wanagombea
Wanaweka strategies zao mezani for that Wilaya/mkoa
Af wananchi wana'vote
The thing is, tumeona hata kwa top level/ high ranking appointees kama makatibu wakuu viongozi, mtindo ni huo huo.Hrere is my reading of this chess game.
They (Ikulu) are checkmating the appointees. By ambushing them.A few of them anyway, and that necessitates the process to be that way (stealthy) for all of them.
Take the CWT bosses, those are big boys. They make almost three times what a DC makes, plus they have a whole lot of side deals. That is part of the reason you have all that fuss at CWT.
So, how does a prez deal with this infighting at CWT? By initiating some kind of dialogue?
No, Mafiosi style. some Godfather shyt. Only you get Dona Samia instead of Don Vito.
With a fresh Luca Brasi character in tow to do all her dirty work.
So, she announces appointing them DCs, put them in some Tanzanian Siberia district of her choice, and that way, she solves the personality conflicts at CWT, possibly planting her stooge there.
That is the way it is supposed to work.
Now, for that to work, the CWT bad boys are supposed to be surprised, any prior notice to notify them before the appointment is announced could be met with some bs "udhuru" to excuse themselves from going to Siberia.
So, that is why they are ambushed. Ikulu is strategizing that, once they are announced, they can't turn down a presidential appointment.
Guess what? They turn it down anyway, embarrassing the president in the process.
It's like "Hunger Games" up in here!
Rais mwenyewe hajui anataka kufanya nini.The thing is, tumeona hata kwa top level/ high ranking appointees kama makatibu wakuu viongozi, mtindo ni huo huo.
Wanateuliwa bila kufahamishwa. Wanazipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii [new media] na vyombo vya habari vya kawaida [traditional/ mainstream media].
This is some banana republic stuff.
Hakuna structure wala protocol inayofuatwa.
Kila kitu shaghala bhaghala tu.
Na ndo maana Rais anaamua tu kukiuka katiba na anafanya matakwa yake kuwa ndo utaratibu, halafu baadaye anakuja kusema ni rukhsa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na baadhi ya watu wanampongeza.
Wanampongeza kwa lipi hasa? Hana mamlaka ya kukataza mikutano ya kisiasa na hana mamlaka ya kuiruhusu!!
Pongezi za nini sasa?
Tuna populace iliyojaa ujinga mwingi na uoga usio na kifani. Kuanzia viongozi kuja chini….
Watanzania ebu tupunguze ujuaji aisee kuna muda mnatetea mambo ambayo hayakupaswa kutetewa.Rais anajua alichokifanya kuwaondoa watu watatu kutoka taasisi moja na kuwapa ukuu wa wilaya sio jambo rahisi lkn amefanya kwa kujaribu kupunguza migogoro pale CWT .Hawa wamekua chanzo cha matatizo mengi pale chama cha walimu.solution ni kuwaondoa wakafanye kazi zingine.Watake wasitake wataondoka tu.Boss hakosei hata akiiteua maiti?
I mean these people don't even call to see if the appointees are still breathing.
Come on man.
Mfano wako ni mbaya, serikali si baba wa Watanzania.
Na hata mtoto wako anaweza kuwa na sababu nzuri za kukukatalia kufanya kazi fulani kama unambambikia tu kazi bila kusikilizana naye kwanza.
Mtoto ana pumu inayokuwa triggered na vumbi, wewe unamwambia afagie uwanja wenye vumbi. Hiyo si kazi, hiyo ni child abuse.
Mtoto ana haki ya kukataa kazi kwa sababu za kiafya.
Sasa hawa wateule hata kama wana sababu za kiafya, hawapewi nafasi za kukataa kazi.
Halafu wakishindwa kufanya kazi tutalalamika ma DC hawana ufanisi?
Wakati kazi wanalazimishwa kuzifanya, hawajataka kwa utashi wao wenyewe.