Lakini ukila mavi, watu wakisema unakula mavi utatuambukiza kipindupindu, that is a public health issue, hutakiwi kujitetea kwa kusema "kupanga ni kuchagua, kila mtu na lwake"
Kwa nini Watanzania wengi wanalichukulia poa poa tu?
A simple phonecall kumjulia hali mteule na kumuuliza kama atakubali uteuzi ingemuonesha courtesy mteule, na ingemuondolea aibu ya kukataliwa publicly rais.
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi. Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo; Nimeangalia video fupi ya hotuba...
www.jamiiforums.com
Baada Rais Magufuli kufariki, Rais Samia alipoanza kuunda timu yake, naye akaendelea na mtindo huo huo wa kuteua watu bila kufanya nao mazungumzo!

They (Ikulu) are checkmating the appointees. By ambushing them.A few of them anyway, and that necessitates the process to be that way (stealthy) for all of them.
Take the CWT bosses, those are big boys. They make almost three times what a DC makes, plus they have a whole lot of side deals. That is part of the reason you have all that fuss at CWT.
So, how does a prez deal with this infighting at CWT? By initiating some kind of dialogue?
No, Mafiosi style. some Godfather shyt. Only you get Dona Samia instead of Don Vito.
With a fresh Luca Brasi character in tow to do all her dirty work.
So, she announces appointing them DCs, put them in some Tanzanian Siberia district of her choice, and that way, she solves the personality conflicts at CWT, possibly planting her stooge there.
That is the way it is supposed to work.
Now, for that to work, the CWT bad boys are supposed to be surprised, any prior notice to notify them before the appointment is announced could be met with some bs "udhuru" to excuse themselves from going to Siberia.
So, that is why they are ambushed. Ikulu is strategizing that, once they are announced, they can't turn down a presidential appointment.
Guess what? They turn it down anyway, embarrassing the president in the process.
Lakini ukila mavi, watu wakisema unakula mavi utatuambukiza kipindupindu, that is a public health issue, hutakiwi kujitetea kwa kusema "kupanga ni kuchagua, kila mtu na lwake"
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea kwa kifupi. Fuatana nami nikuelezee kwa nini nasema hivyo; Nimeangalia video fupi ya hotuba...
www.jamiiforums.com
Baada Rais Magufuli kufariki, Rais Samia alipoanza kuunda timu yake, naye akaendelea na mtindo huo huo wa kuteua watu bila kufanya nao mazungumzo!
Imagine calling all DCs nchini js to confirm if they want the job or not??ama which kituo they want?
Its not about their interest bt interests of the State wanapimwa wanafaa wapi
CWT bosses naona km Mh Mama alikua anawastiri bt they didnt get it
Sidhani km wana mwisho mzuri sanaa hapo CWT
But they agreed to the job
And its conditions thereof
Kila nafasi ukiuliza mtu mmoja mmoja hutoboi na leakage will be too much wkt baadhi ya vitu ni strategic na suala la kumchinja kobe ni timing
I am trying to feel frm Ikulu's point of view
But they agreed to the job
And its conditions thereof
Kila nafasi ukiuliza mtu mmoja mmoja hutoboi na leakage will be too much wkt baadhi ya vitu ni strategic na suala la kumchinja kobe ni timing
I am trying to feel frm Ikulu's point of view
They (Ikulu) are checkmating the appointees. By ambushing them.A few of them anyway, and that necessitates the process to be that way (stealthy) for all of them.
Take the CWT bosses, those are big boys. They make almost three times what a DC makes, plus they have a whole lot of side deals. That is part of the reason you have all that fuss at CWT.
So, how does a prez deal with this infighting at CWT? By initiating some kind of dialogue?
No, Mafiosi style. some Godfather shyt. Only you get Dona Samia instead of Don Vito.
With a fresh Luca Brasi character in tow to do all her dirty work.
So, she announces appointing them DCs, put them in some Tanzanian Siberia district of her choice, and that way, she solves the personality conflicts at CWT, possibly planting her stooge there.
That is the way it is supposed to work.
Now, for that to work, the CWT bad boys are supposed to be surprised, any prior notice to notify them before the appointment is announced could be met with some bs "udhuru" to excuse themselves from going to Siberia.
So, that is why they are ambushed. Ikulu is strategizing that, once they are announced, they can't turn down a presidential appointment.
Guess what? They turn it down anyway, embarrassing the president in the process.
The thing is, tumeona hata kwa top level/ high ranking appointees kama makatibu wakuu viongozi, mtindo ni huo huo.
Wanateuliwa bila kufahamishwa. Wanazipata taarifa kupitia mitandao ya kijamii [new media] na vyombo vya habari vya kawaida [traditional/ mainstream media].
This is some banana republic stuff.
Hakuna structure wala protocol inayofuatwa.
Kila kitu shaghala bhaghala tu.
Na ndo maana Rais anaamua tu kukiuka katiba na anafanya matakwa yake kuwa ndo utaratibu, halafu baadaye anakuja kusema ni rukhsa vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na baadhi ya watu wanampongeza.
Wanampongeza kwa lipi hasa? Hana mamlaka ya kukataza mikutano ya kisiasa na hana mamlaka ya kuiruhusu!!
Pongezi za nini sasa?
Tuna populace iliyojaa ujinga mwingi na uoga usio na kifani. Kuanzia viongozi kuja chini….

Watanzania ebu tupunguze ujuaji aisee kuna muda mnatetea mambo ambayo hayakupaswa kutetewa.Rais anajua alichokifanya kuwaondoa watu watatu kutoka taasisi moja na kuwapa ukuu wa wilaya sio jambo rahisi lkn amefanya kwa kujaribu kupunguza migogoro pale CWT .Hawa wamekua chanzo cha matatizo mengi pale chama cha walimu.solution ni kuwaondoa wakafanye kazi zingine.Watake wasitake wataondoka tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.