Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo

Unachokuja kuandika wewe tushakipita kukijadili kwa nyuzi 360 muda mrefu huko nyuma, umedandia treni kwa mbele tu.

Nani anatakiwa kupunguza ujuaji sasa?
 
But they agreed to the job
And its conditions thereof

Kila nafasi ukiuliza mtu mmoja mmoja hutoboi na leakage will be too much wkt baadhi ya vitu ni strategic na suala la kumchinja kobe ni timing
I am trying to feel frm Ikulu's point of view
mkuu leakage inatoka wapi?.hao wateule si umesema wengi ni public servants wenye viapo vya kutunza secrets?..so hakuna issue ya leakage..na hata ikitokea akasema ameulizwa kama anataka uteuzi so what?kuna hasara gani itatokea?..afterall huo uteuzi utatangazwa kwa media na wala sio kazi ya kificho!..ni mindset tu kubadilika.!
 
Huko India, kufanya kazi Serikali kuu ni kwa interview. Maelfu nwanaomba, na mtinahi wake ni mgumu hasa, inabidi usome vitabu vingi kujiandaa, pass rate ni chinibya 5%. Tufike mahali kazi za Serikali zigombewe kwenye interviews
 
Huko India, kufanya kazi Serikali kuu ni kwa interview. Maelfu nwanaomba, na mtinahi wake ni mgumu hasa, inabidi usome vitabu vingi kujiandaa, pass rate ni chinibya 5%. Tufike mahali kazi za Serikali zigombewe kwenye interviews
Administration costs na muda yaweza kuwa haifai kwa baadhi ya nafasi
 
Wanatunza viapo sasa?
Ama kigogo angeshatujulisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…