Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo

Kuteuliwa na mamlaka za nchi ni heshima kubwa, anayekataa basi kuna maovu anataka kuficha kwenye nafasi aliyo nayo

Watanzania ebu tupunguze ujuaji aisee kuna muda mnatetea mambo ambayo hayakupaswa kutetewa.Rais anajua alichokifanya kuwaondoa watu watatu kutoka taasisi moja na kuwapa ukuu wa wilaya sio jambo rahisi lkn amefanya kwa kujaribu kupunguza migogoro pale CWT .Hawa wamekua chanzo cha matatizo mengi pale chama cha walimu.solution ni kuwaondoa wakafanye kazi zingine.Watake wasitake wataondoka tu.
Unachokuja kuandika wewe tushakipita kukijadili kwa nyuzi 360 muda mrefu huko nyuma, umedandia treni kwa mbele tu.

Nani anatakiwa kupunguza ujuaji sasa?
 
But they agreed to the job
And its conditions thereof

Kila nafasi ukiuliza mtu mmoja mmoja hutoboi na leakage will be too much wkt baadhi ya vitu ni strategic na suala la kumchinja kobe ni timing
I am trying to feel frm Ikulu's point of view
mkuu leakage inatoka wapi?.hao wateule si umesema wengi ni public servants wenye viapo vya kutunza secrets?..so hakuna issue ya leakage..na hata ikitokea akasema ameulizwa kama anataka uteuzi so what?kuna hasara gani itatokea?..afterall huo uteuzi utatangazwa kwa media na wala sio kazi ya kificho!..ni mindset tu kubadilika.!
 
Kama umeteuliwa ni kwamba umekidhi vigezo kwa maana una sifa stahiki lakini pia umepewa heshima kubwa na Mamlaka iliyokuteua.

Jiulize kuna Watanzania wangapi wenye sifa zaidi yako lakini hawakupewa nafasi hiyo?

Vyombo vya habari vimetoa taarifa kuna Watu wamekataa Heshima waliyopewa na Mamlaka ya Uteuzi.
Itoshe kusema watu hawa kama ni kweli wapo hawana chembe ya uzalendo hata kidogo, umetumwa ukawatumikie Watanzania ukiwakilisha Mamlaka ya Uteuzi unakataa na bado unataka uendelee kwenye nafasi yako ya sasa?

Kuna mambo yanatakiwa kutiliwa shaka kwa watu hawa ikiwa ni pamoja na

1. Yawezekana nafasi walizopo sasa kuna maovu mengi wamefanya hivyo wanaogopa kuachia ghafla mengi yataibuka.

2. Yawezekana kile wanacholipwa ni kikubwa sanaa kuliko wanavyostahili, Wote tunajua Waajiri wao ni Wanachama. Je Wanacholipwa kama Mshara na Stahiki nyingine zinalingana na Waajiri wao?

3. Waajiri wa hawa watu (Wanachama) Je, ni kweli wanawapima utendaji wao kwa Maana ya Investment zinazofanyika chini ya Chama Chenu? Tutakuwa na Michango isiyokoomaa au tutafute uwezekezaji wenye tija na tupunguze michango?

Mwenyezi Mungu ibariki Tanzania

Mwenyezi Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.

View attachment 2501128
Huko India, kufanya kazi Serikali kuu ni kwa interview. Maelfu nwanaomba, na mtinahi wake ni mgumu hasa, inabidi usome vitabu vingi kujiandaa, pass rate ni chinibya 5%. Tufike mahali kazi za Serikali zigombewe kwenye interviews
 
Administration costs na muda yaweza kuwa haifai kwa baadhi ya nafasi
 
mkuu leakage inatoka wapi?.hao wateule si umesema wengi ni public servants wenye viapo vya kutunza secrets?..so hakuna issue ya leakage..na hata ikitokea akasema ameulizwa kama anataka uteuzi so what?kuna hasara gani itatokea?..afterall huo uteuzi utatangazwa kwa media na wala sio kazi ya kificho!..ni mindset tu kubadilika.!
Wanatunza viapo sasa?
Ama kigogo angeshatujulisha
 
Back
Top Bottom