Kuthaminiwa kwa Walimu

Imma shau

New Member
Joined
Mar 30, 2014
Posts
2
Reaction score
0
sijuwi kwanini walimu wetu wa ngazi zote hawathaminiwi kama wambunge na mawaziri wa nchi wakati tunasikia asilimia kubwa ya waajiriwa ni waalimu. Ila majeshi nao huthaminiwa xana tena xana, sasa kwa sisi walimu inakuwaje? Tujadiliane kwa hoja ndg.
 
yani kama na wewe ni mwalimu, basi hili janga halitoweza isha kamwe!

heri ya pasaka waalimu wote!
 
Mmh mwl wa ki.com bwana ndo utakuwa unawaandikia watoto wetu ubaoni 'xana xana! Ebu edit kwanza nichangie hoja....
 
sijuwi kwanini walimu wetu wa ngazi zote hawathaminiwi kama wambunge na mawaziri wa nchi wakati tunasikia asilimia kubwa ya waajiriwa ni waalimu. Ila majeshi nao huthaminiwa xana tena xana, sasa kwa sisi walimu inakuwaje? Tujadiliane kwa hoja ndg.

Wewe sio mwalimu period.
 
Chanzo kikubwa ni walimu wenyewe hasa walioko vijijini na zaidi wazee kutojitambua,kuwa walevi,masikini na tegemezi wa kukopa vitu vidogo vidogo kwa wanakijiji na pia utofauti wa elimu na madaraja ya mishahara yanayosababisha walimu wenyewe kwa wenyewe kudharauliana na hii inasababisha kutokuwa na umoja HIVI VYOTE UKIVIWEKA KWA PAMOJA NDO UNAPATA SABABU YA WALIMU KUTOTHAMINIWA
 
sijuwi kwanini walimu wetu wa ngazi zote hawathaminiwi kama wambunge na mawaziri wa nchi wakati tunasikia asilimia kubwa ya waajiriwa ni waalimu. Ila majeshi nao huthaminiwa xana tena xana, sasa kwa sisi walimu inakuwaje? Tujadiliane kwa hoja ndg.

Jeshi lazima lithaminiwe kwa sababu linaweza kuchukua nchi ila walimu unataka wathaminiwe kivipi hebu tiririka
 
ni wewe mwenyewe tu. mbona me wananiheshimu popote niendapo since nlishajipanga vzur. kama house safi name gari ninazo. wengi wanaanza kuamini ualimu inalipa pia madent wangu heshima kubwa coz nafanya kazi iliyobora. ukiwa ka teacher simama mwenyewe uone respect itakavyokufuata yenyewe. nawasilisha
 
Kweli kabisa mkuu.. unakuta walimu wengi wanajidharau wenyewe.. ticha hata pasi hupigi unategemea nini..🙂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…