Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sijuwi kwanini walimu wetu wa ngazi zote hawathaminiwi kama wambunge na mawaziri wa nchi wakati tunasikia asilimia kubwa ya waajiriwa ni waalimu. Ila majeshi nao huthaminiwa xana tena xana, sasa kwa sisi walimu inakuwaje? Tujadiliane kwa hoja ndg.

ni wewe mwenyewe tu. mbona me wananiheshimu popote niendapo since nlishajipanga vzur. kama house safi name gari ninazo. wengi wanaanza kuamini ualimu inalipa pia madent wangu heshima kubwa coz nafanya kazi iliyobora. ukiwa ka teacher simama mwenyewe uone respect itakavyokufuata yenyewe. nawasilisha
Kweli kabisa mkuu.. unakuta walimu wengi wanajidharau wenyewe.. ticha hata pasi hupigi unategemea nini..🙂