kuna siku niliona channel moja hizi zinazopatikana kwenye king'amuzi walikua wanatangaza dawa fulani ya kuotesha nywele lakini walikua wanaandika majina kwa kiarabu ila tangazo linatangazwa kwa kiinegreza. si unajua tena hizi channel mbalimbali za kwenye king'amuzi zinaonekana kama ziko intended for arabic nations