BWANA MISOSI
Member
- Feb 11, 2020
- 39
- 24
Ili uthibitishwe kazini mwajiri wako lazima aridhike na utendaji kazi wako na pia aridhike na tabia zako mahala pa kazi. Maana unaweza kuwa mchapakazi lakini mgomvi au unakiburi.Habari wana JF.
Naomba kuuliza kwa wale watumishi walioajiriwa kwenye taasis ya umma, baada ya mwaka unatakiwa kuthibishwa kazini, swali, je kuna taratibu zipi zinapitiwa ili uthibishwe? je unaweza kukatariwa usithibitishwe? kwa sababu zipi?