Kuna jamaa anajidai ni mtaalam wa lugha Cloudsfm, anasema huwezi kutibu maji kwasababu hatutumii dawa na ni tafsiri sisisi.
1.Je chemical sio dawa au dawa sio chemical?
2. Anadai pia kwa maoni "yake" sio sahihi. kwani sisi tunahitaji maoni yake?
3. Anasema anapata "ukakasi" na haoni "ladha", je ukakasi au ladha unaipataje kwa kusikia au kutamka na sio kuonja au kula?