Kutishwa kisa madai

Mti wa Chuma

JF-Expert Member
Joined
Jul 2, 2015
Posts
331
Reaction score
99
Dah.

Katika hali ya kushangaza nimetishwa na kutukanwa na mtu ambaye ananidai ambako alianza kuvurumisha matusi makubwa pamoja na vitisho, huku akiniambia nitakuharibu.

Hali hii imekuja nikiwa kwenye process za kumlipa kiasi kwamba ameniogopesha sana.

Je, sheria ya madai inaruhusu kumtishia na kumtukana unayemdai?

Ushauri wenu.
 
Dawa ya deni ni kulipa tu hamna namna la sivyo utatukanwa na kutishiwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…