kesho kutwa
JF-Expert Member
- Dec 7, 2016
- 1,722
- 1,965
Hakuna sadaka naheshimu kama hiyo.. Huwa naitoa kwa moyo mkunjufu na kwa furaha kuu.Nimekuja ona watu wengi humu ndani wanadhani kama kutoa zaka unamtolea mwanadam jambo ambalo linawakwamisha kwa kuhisi wanamnufaisha mchungaji ama kiongozi wa kanisani ama dhehebu fulani.
Mkuu ukitoa hata mkono wa pili hautakiwi kujua, Sasa umeshatuambia!!Hakuna sadaka naheshimu kama hiyo.. Huwa naitoa kwa moyo mkunjufu na kwa furaha kuu.
Umefunuliwa mkuu tupe mafanikio yako kutokana na hiloHakuna sadaka naheshimu kama hiyo.. Huwa naitoa kwa moyo mkunjufu na kwa furaha kuu.
🫢🫢Mungu yuko wapi nikamkabidhi yeye mwenyewe hela zake?
Kama hayupo niende kumkabidhi yeye mwenyewe basi hayo mengine ni utapeli kama utapeli mwingine.
Dini ni utapeli kama utapeli mwingine Mungu hayupo.
Ndio mkuukumbe!
Kitendo cha kuweka katika chombo cha sadaka tayari umenawa mikono mkuu we timiza tu agizo hiloSwali kuu : Unampa nani aiwasilishe kwa Mungu?
unamwamini?
Anza na kidogo mkuu ulichojaliwaKwahiyo ambao hatuna cha kutoa hatutakuja kukutana naye?