Kutoa harufu kwa mwanamke baada ya kufanya mapenzi, ni nini tatizo?

Umepanic!!
 
Mshkaji wangu KARANJA 007 una akili sana
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
We ndio tatizo, haiwezekani wanawake wote hao wakawa wanatoa harufu. Jitathimini usisingizie wanawake.
 
Kati ya asilimia 100% ya wanawake nilifanya nao mapenzi,asilimia 80%wana matatizo ya kutoa halafu mbaya Mara tu baada ya kusex,na asilimia 20% tu ndiyo wako hawatoi halafu hiyo.Je wanamatatizo gani?
Were ndio unamatatizo

1: hujui kuoga. Especially katikati ya matako ukute palishakua pa kijan.....kama unabisha chukua kitambaa ujifute uone kama kitambaa hakibadiliki rangi.

2:kunyoa hunyoi.....una kichaka cha hatari ukipigwa jua unatoa harufu ya kimoro + kibambara

3:nna wasiwas kama mswaki unapiga au unapitisha .....pua yenyewe husafishi nna uhakika huo.

Maana kwa harufu hizo unazozisikia sio za kawaida.

Sie hua tuna nukia mahaba dogo hatunuki.

Fanya kujitambua hutazisikia hzo harufu zako.[emoji4]
 
Kati ya asilimia 100% ya wanawake nilifanya nao mapenzi,asilimia 80%wana matatizo ya kutoa halafu mbaya Mara tu baada ya kusex,na asilimia 20% tu ndiyo wako hawatoi halafu hiyo.Je wanamatatizo gani?
Hizo ni fungus mkuu ttzo hilo lipo kwa wanawake wengi sana linawasumbua.... Ila wapo wengine ni uchafu tu wa kawaida hawajui kujisafisha utakuta mtu amatoka kukojoa anashindwa hata kujitawadha na maji safi umatokeo mkojo unaganda kwenye uke akikaa akikaa nao mpaka jioni then kutana nae kimwili uone hiyo heka heka chumbani khee unaweza ukazimia ghafla kiukweli wakina dada wengi bado hawajui thamani zao kama wasichana afu wenyewe huona hili ttz ni la kawaida tu kumbe lina waharibia sana kwa stahili hizi watakimbiwa na wanaume kila siku sidhan kama watapata hata wachumba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…