Hii haipendezi, mbaya. zaidi ni habari za uzushi na udhalilshaji mtupu! pengine tatizo, liko kwake mwenyewemkuu!
hata ukifanya na mmoja kati ya watano.. bado hiyo nayo ni 20%
na bado utasema ni utafiti umefaufanya..
Halafu kwanini, mada nyingi zinawadharilisha wanawake..? maana mada za kudiscuss maumbile yao zimekuwa nyingi sasa..
(NASIKITIKA KUSOMA UZI HUU, LAKINI MACHO HAYANA PAZIA) NAWAOMBA WAHUSIKA WAUTOE UZI HUU KULINDA UTU NA HESHIMA YA WATU WANAODHALILISHWA BILA SABABU, NA KULINDA HESHIMA YA JF.