Kutoa harufu kwa mwanamke baada ya kufanya mapenzi, ni nini tatizo?

Kutoa harufu kwa mwanamke baada ya kufanya mapenzi, ni nini tatizo?

mkuu!
hata ukifanya na mmoja kati ya watano.. bado hiyo nayo ni 20%
na bado utasema ni utafiti umefaufanya..

Halafu kwanini, mada nyingi zinawadharilisha wanawake..? maana mada za kudiscuss maumbile yao zimekuwa nyingi sasa..
Hii haipendezi, mbaya. zaidi ni habari za uzushi na udhalilshaji mtupu! pengine tatizo, liko kwake mwenyewe
(NASIKITIKA KUSOMA UZI HUU, LAKINI MACHO HAYANA PAZIA) NAWAOMBA WAHUSIKA WAUTOE UZI HUU KULINDA UTU NA HESHIMA YA WATU WANAODHALILISHWA BILA SABABU, NA KULINDA HESHIMA YA JF.
 
Wewe ni Padre bhana,acha kunyanyapaa mademu zetu weweee,kwa kuwa wewe ni Padre huwezi jua harufu ya ****,**** hata inuke vipi ni taaamu....periooooood,**** imekuzaa wewe Padre khanithi huna maana,wacha **** zinuke ebooo,kama zinanuka wewe usisimashe hilo liboro lako kalia chaputa kenge bluuu wewe usie na haya kwa dada zako,shangazi zako,mama zako eboooooo.
Ndugu yangu jitahidi basi kujenga hoja na siyo kupayuka hovyohovyo inavyoonekana hapa wewe hupendi usafi wa mwilini isitoshe hata ukijisaidia hutawadhi ili napo ujenge hoja ya harufu asili ya mkundu kunuka siyo? Naamini una akili timamu ila hujui kama kuna nyeti safi basi leo pata fulsa ya kujua hili.
 
Huu utafiti wa Jf, Naona unamimba isiyo na Baba,,

Coz kila mtu anapiga!!!! '
 
kwa kweli mada za kuongelea akina dada zimezidi sana yani hadi mi mwenyewe napatwa na aibu napouvaa uhusika wao, basi jaribuni kuwaongelea na kwa mazuri pia itapendeza vili vile sio kila siku ni kupondeana tu halafu ukitoka hapo unaenda kum'bembeleza huyo du uliemsanga wengine mnatoa hadi na machozi ili mjitolee mingare yenu, si vyema wakuu, hebu tuwe WANAUME hakika.
Mim ndo mana hili jukwaa sitembelei tena, naweza ingia mara kwa mwezi au miez miwili., watoto wengi sana siku hizi hapa, hamna la maana tena.
 
Kwenye vitabu vya dini ilisha andikwa zinaa ni njia CHAFU, sasa nashanga kwa huo utafiti..kwanini isiwe hivyo...
 
K
Mim ndo mana hili jukwaa sitembelei tena, naweza ingia mara kwa mwezi au miez miwili., watoto wengi sana siku hizi hapa, hamna la maana tena.
Kabisa mkuu walio wengi wamekalia kumchambua mwanamke kila kukicha.
 
......unakutana nA wagonjwa......utakua nA nyota yA toilet labda.....harufu anytym
 
mkuu!
hata ukifanya na mmoja kati ya watano.. bado hiyo nayo ni 20%
na bado utasema ni utafiti umefaufanya..

Halafu kwanini, mada nyingi zinawadharilisha wanawake..? maana mada za kudiscuss maumbile yao zimekuwa nyingi sasa..
AMEN
 
Acha umalaya 100% haitokusaidia kitu tafuta chombo chako ili unawe peke yako
 
Mim ndo mana hili jukwaa sitembelei tena, naweza ingia mara kwa mwezi au miez miwili., watoto wengi sana siku hizi hapa, hamna la maana tena.
uwepo ni muhimu kwenye nyanja kama hizi ili kukwangua ukoko uliopo kwenye vichwa vya watu kama hawa, kukimbia shida hakuifanyi ikatatuka, kwanza mleta uzi mwenye ni new member yani kakurupuka haswaa ndo inabidi watu kama nyie mumuonye.
 
Kumbe ni baada ya kufanya nao ndio unaisikia hiyo "halafu"
Basi hiyo ni "halafu" yako.

Acha uzinzi, hebu tafakari matokeo yako ya form two karibu yanatoka.
Mh..!
 
Ukifikiri kua nawe unamama na heshima unayompa!!. Hata kama unaaichana unamheshim nankumpenda hivi vitu sio fair kuongelea mnawazalilisha sana tujitahid hata kuwapa sifa mda mwingine
 
Back
Top Bottom