Kutoa harufu kwa mwanamke baada ya kufanya mapenzi, ni nini tatizo?

Saafi sana mkuu.
 
+ mind. Kp t up.
 
Swadakta ndugu.. Umeongea maneno ya Kweli. Sisi watu wazima tunaelewa hili, ila Huyu kijana aliyepata balehe hivi Karibuni hajuwi Hii harufu tamu! Eti yeye anaiita kunuka! Mchane huyo Mshamba wa Zinaa
 
Kati ya asilimia 100% ya wanawake nilifanya nao mapenzi,asilimia 80%wana matatizo ya kutoa halafu mbaya Mara tu baada ya kusex,na asilimia 20% tu ndiyo wako hawatoi halafu hiyo.Je wanamatatizo gani?
Papuch ya mwanamke ikiwa Safi huwa ina Rehe flan hivi kama chuma kilichonakutu kikamwagiwa maji,,,,,

Fanya tafiti mke jitambue,,,,, na mume mtambue mkeo/dem
Tofauti na hapo haijasafika Bado,
 
Wadada wengine wana kale kaharufu ka-fishfish!

Unakuta dada mzuri kila idara na anatoka familia well-off na ana kazi ya maana yenye mshahara mnono but ana hako kaharufu ka-fishfish!

Isitoshe wanajua kuoga na kujipaka manukato luxurious and expensive but tatizo ni hako kaharufu tu.

Wadada naomba mnisaidie the real cause for that. Je, mwanamke hawezi tambua kuwa ana hiyo harufu?
 
Unataka kjisifu umekula mia????[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Kuwa muwazi babu tunajua hizo kick za form two kwenda form three
 
sijui mie kwani sijawahi jaribu. hebu tueleze wewe kama una uzoefu
Mimi wala sina uzoefu shem wangu huwa nasikia tu kwa watu sasa nataka mimi na wewe tujaribu hii kitu jamani ili tumalize step yetu pendwa ya mwisho![emoji1]
 
ungemuuliza uli
Mimi wala sina uzoefu shem wangu huwa nasikia tu kwa watu sasa nataka mimi na wewe tujaribu hii kitu jamani ili tumalize step yetu pendwa ya mwisho![emoji1]
hakunaga tumekula kiapo mm na mpnz wangu no kusalitiana.

so sahau majaribu unayotaka kuyatenda kwangu.
 
Kunywa bia kwa mangi nakuja kulipa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…