Kutoa hela UTT changamoto CRDB

Hapana, liquid fund raha yake ni kuona salio linakua kila siku, na uwezo wa kutoa hela ndani ya siku tatu za kazi basi. Riba zinafanana hiyo mifuko miwili
Ok nimeona nao interest yao pia ni 12%
 
Kwa hiyo hizo za BOT ni mpaka watangaze, huwezi kwenda kujinunulia siku ukiwa na pesa?
Ingia Instagram, tafuta namba ya Solomon Brokers. Wao ni mawakala wa stock market na UTT watakua na majibu ya maswali yako yote. Ukitaja tu jina la kampuni kuna watu huwa wanahisi labda ni tangazo la biashara, kama ni mtu wa kujituma basi hutakuwa na maswali tena. Tafuta any broker, piga simu na utapata msaada.
 
Mkuu hebu dadavua zaidi, nasikia inategemea na kiasi cha fedha unachohitaji kutoa. Kama ni kikubwa wanakusumbua ukate tamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…