Mara nyingi kiafrika wanandoa hulala pamoja! Nina swali! Iwapo mmoja wenu ana haja ya kutoa hewa chafu (kujamba) wakati wa usiku ni lazima atoke out of room akimaliza arudi kuuchapa usingizi au shughuli inamaliziwa hapo hapo! Na je hii inaathari yeyote kwa uliye naye kitandani kwa muda huo....
Naomba wenye uzoefu mnijuze
Teh teh, mnashea kila kiyu, ukimpenda mwenzako unapenda kila kitu, mnatoleana hewa humohumo wote sasa ukitoka nje utatoka mara ngapi, teh teh! oa utaona kila kitu kinavyokuwa it is a nice experience na hasa kam mnapendana kiukweli, you will enjoy it! teh teh teh!
duh bado sijamjambia mtu aisee
Ipo sikuduh bado sijamjambia mtu aisee