nyie vijana, hii ni kitu cha kawaida, wala msiumize moyo kubanabana...mme wako au mke wako anajua kila kona ya maisha yako, halafu ni mwili wako huo mmefanyika mwili mmoja, hivyo ukiona ametoa harufu mbaya, unatakiwa kuivuta kama vile wewe unavyovutaga harufu uliyoitoa wewe mwenyewe..kwa wale wenye vyoo vilivyojengwa pamoja na bafu humohumo...hata kujisaidia haja kubwa mbele ya mkeo/mmeo ni kitu cha kawaida, pia anaweza hata akakutawaza hata kukutawaza ukipenda/amua...kwani unachoogopa ni nini? unaogopa mmeo/mkeo ataona kimba lako...sasa ukiugua huna haja unaharisha hata uwani unakalishwa au unajisaidia kwenye kisahani/kopo/dishi na mkeo/mmeo anatakiwa azoe, akutawaze na afanye vyote utafanya nini? utakubali mdogo wako aje akuuguze wakati mkeo yuko hapohapo?....
yaani mkishaoana mnakuwa mwili mmoja, usafi wake ni usafi wako, uchafu wake ni uchafu wako..harufu yake ni yako, tumbo lake ni lako kila kitu chake ni chako...na ni mwiko kujifanya una aibu mbele ya mwenzio...
mmesikia vijana? :A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade::A S shade: